Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hatupishani sana na huyu m'babu.......itakuwa tayari baada ya siku saba kutoka sasa......
mmmh nitakutumiaje zawadi yako P???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatupishani sana na huyu m'babu.......itakuwa tayari baada ya siku saba kutoka sasa......
Tatizo we unasemaga tu lakini unakaba mpaka penati
Wahi mupenzi. Hivi ushakuwa mahiri wa kudandia hizi makitu?
![]()
Aibu aibuuuuuuuuuuuuuuuuuu........... Wake wote wanne wameshindwa kujua birthday yako babu Asprin kha!!!!!
Ndo maana nilikwambia uwaache wote unioe mimi ukagoma unaona sasa..... yan me ningekuwa wa Mwisho kutoka mwanzo kukuwish HAPPY BIRTHDAY...... Shaurilooooooooooo!!!!!!
Aibu yako aibu yaooo!!!!
Nakala kwa : cacico, Yummy, BADILI TABIA na Kongosho:target::target::target::target:
Oh senkyu hani. Mbona hujibu sms yangu? Nataka mwongozo wako ujue...happy birthday babu baby Asprin ODM
mzeeh k...k amekuwekea keki ya kienyeji jioni upitie pale :A S soccer:
Hehehehe..... leo ukimpigia kilongalonga, mpigie makofi matatu kwa afya yangu! Ashukuriwe babake Preta bana!umeona eeeeeh....hao wazee nawapa big up sana.......
Popote mlipo amu na Paloma, hebu mkuje pande hii mniambie kama huu mswada anaosema watu8 hapa niuweke kwenye katiba mpya au laa!amu na Paloma wameniahidi watakupa kampani sherehe nzima, tena wameapa kwa kutumia katiba ya CC
Na bado, kuna vingine viiiingi navyotakiwa kukufunza. Kazi yako ni kunipa nafasi!chini ya twisheni yako ODM nimefuzu sanaaaaaaaaaa sibababishwi na kitu! mwenyewe navaa tenge langu na skini taiti aaah no problemo!
Hapo kwa red..... ntalifikiria asee.....
Hapo kwa blue, hebu come this way darling......... Ila mwambie Nicas Mtei asiwe na wivu wa kike.:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Hapo kwa red..... ntalifikiria asee.....
Hapo kwa blue, hebu come this way darling......... Ila mwambie Nicas Mtei asiwe na wivu wa kike.:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Chelewa chelewaaaaaa!!!!!!
Na wewe usichelewe chelewe
Me mshamuwahi mbona!!! White party ntakuwa naye.. Kanipromise kuwa na mie mwanzo mwisho!!!!
Hapo vipi Asprin