Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi

Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi

Nakutakia maisha marefu na yenye baraka

Kamwe endelea kutowaonea huruma wanawake uishi miaka mingi duniani
 
dogo haya nimambo ya kike na kishoga.

Ikiwa ni Maoni yako basi upo sahihi Kabisa, lakini Kwa vile sio Fact haupo Sahihi
Happy birthday taikon hata kama hawajakupa tuzo ila ulitakiwa na ww upewe tuzo yako[emoji109][emoji109]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu shukrani Sana Kwa kunitakia kheri.

Ila Kwa habari za tuzo, utaratibu ulikuwa lazima nipigiwe Kura na nishinde,
Sasa Kaka Mshana Jr alinizidi Kwa Kura. Hivyo ni Haki kabisa kutokupewa Tuzo kwani sikukidhi vigezo.

Hata hivyo nashukuru Kwa sababu kukubalika pia na kuwekwa kwenye vinyang'anyiro ni sehemu ya heshima Mkuu
 
Back
Top Bottom