Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi

Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi

Hakuna uhusiano wa moja Kwa moja kati ya kusherehekea siku ya kuzaliwa na urijali wa mtu

Huyo ana-stress za Maisha, au ni mshamba, au ni MTU ambaye Hana exposure
Hivyo asilaumiwe anachokizungumza ni Haki na halali kwake.
Na Wakati mwingine ni sehemu ya matibabu kwake.

Huyo ukitaka apate Ahueni unatakiwa uendelee kujibishana naye, atafurahi.
Lakini ukimpuuza atazidi kuchanganyikiwa na kuona umemdharau.
 
Robert= Bob , Heri ya siku ya mfanano ya kuzaliwa mkuu, uendelee kutuandikia na kutoa elimu hapa JF,
 
Ni tarehe kama ya leo au siku ya leo ndio umezaliwa??!!--- kama umezaliwa leo maana yake hata umri wa siku moja huna!!, bado ungali mtoto mchanga!!.

Au hizo ndizo lugha za kifasihi??

Ni Lugha za kifasihi Mkuu. Wala zisikupasue Kichwa
 
Huyo ana-stress za Maisha, au ni mshamba, au ni MTU ambaye Hana exposure
Hivyo asilaumiwe anachokizungumza ni Haki na halali kwake.
Na Wakati mwingine ni sehemu ya matibabu kwake.

Huyo ukitaka apate Ahueni unatakiwa uendelee kujibishana naye, atafurahi.
Lakini ukimpuuza atazidi kuchanganyikiwa na kuona umemdharau.
Sasa niheshimiwe na jinga kamawewe ili iweje?
🤣Tena hata hunijui🤣🤣🤣🤣dah
 
Sasa niheshimiwe na jinga kamawewe ili iweje?
[emoji1787]Tena hata hunijui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah

Mkuu mbona unatukana sana unataka kuharibu sherehe tena na mchango haujatoa? Wakati umealikwa tu kutoa salamu
 
Mwanaume unasheherekeaje birthday wewe?
Kwa hiyo tukuletee keki upulize mishumaa [emoji849]
 
Mkuu mbona unatukana sana unataka kuharibu sherehe tena na mchango haujatoa? Wakati umealikwa tu kutoa salamu

Wala haharibu Bali anajipa tiba.
Vijana wanahitaji kutema sumu na nyongo zao ili stress na masumbuko Yao yapungue.
Hivyo muache tuu ikiwa inamsaidia
 
Mwanaume unasheherekeaje birthday wewe?
Kwa hiyo tukuletee keki upulize mishumaa [emoji849]

Celebraties wote wanasherehekea dunia nzima lakini watu wasiojielewa ndio wanajifanya wagumu, siku ya kuzaliwa si kwa ajili ya kupuliza mishumaa, unawatembelea wagonjwa, watoto yatima, wazee na kujipa muda wa tafakari za maisha yako, na legacy gani utaacha
 
Back
Top Bottom