Happy Birthday to you Boniface Mwamposa mtu mwenye maji na mafuta yake mjini

Kama mleta mada ni mwanamke iko sawa kabisa kwa wewe kumtakia heri Mwamposa ktk siku yake ya kuzaliwa. Yawezekana umevutiwa naye.

Lkn kama wewe ni mwanaume halafu umeingiwa na pepo wa kike wa kumtakia mwanaume mwenzio heri ya siku yake ya kuzaliwa nasikitika kwa kuhitimisha kuwa "haikuwa ridhiki kwa kijana huyu wa kiume".
CC Mshana Jr
 
Uzuri akififia tapeli mmoja mjini anaibuka mwingine kuendelea kuchukua pesa za wapumbavu waliokosa maarifa ya kujua pesa zao wasaidie kina nani.

Mtu mtaani kwake amezungukwa na masikini kibao ila jpili anatoka na gari lake kwenda kupeleka fungu la kumi kwa matapeli wa injili. Jirani zake masikini ,wajane na mayatima hana habari nao kabisa.
 
Kuna tapeli mmoja wa injili nilimuona anajisifu ana gari la milioni 400.
 
Huyu Mwamposa ana kundi kubwa sana la watu wajinga wanamwamini mpaka basi. Yaani kupitia hilo kundi la watu wajinga, jamaa amekuwa na yeye milionea mjini!!

Aisee kweli wajinga ndiyo waliwao.
 
Wajinga Ndiyo Waliwao,Mtumishi Kumetokea Nini
 
Kama mleta mada ni mwanamke iko sawa kabisa kwa wewe kumtakia heri Mwamposa ktk siku yake ya kuzaliwa. Yawezekana umevutiwa naye.

Lkn kama wewe ni mwanaume halafu umeingiwa na pepo wa kike wa kumtakia mwanaume mwenzio heri ya siku yake ya kuzaliwa nasikitika kwa kuhitimisha kuwa "haikuwa ridhiki kwa kijana huyu wa kiume".
Kwamba ameleft group au siyo[emoji848]
 
Apostoro kuna muujiza huku, nini kimetokea huyu aliachwa na mume wake leo Ana mimba yake mume aliyemuacha na amerudi jana,
NANI mtenda miujiza?
 
Huyu Mwamposa ana kundi kubwa sana la watu wajinga wanamwamini mpaka basi. Yaani kupitia hilo kundi la watu wajinga, jamaa amekuwa na yeye milionea mjini!!

Aisee kweli wajinga ndiyo waliwao.
Nampongeza sana mnyakyusa yule kwa kuwa hodari wa kukusanya pesa za wajinga! Kazi iendelee apostle Mwamposa wakamue mpaka senti zao za mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom