Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Sawa, National Anthem ya kweli haya?tumeshajadili atanunua National Anthem
okay mungu akupe umri mrefu uzidi kuona many sunrise na akulinde dhidi ya haters humu jf na pia kwa ground.Thanks so much 🙏
Sina namna nzuri ya kukielezea, labda nije kukuonesha kilipoUnawaza ujinga tu[emoji16]
Ndio kitu gani hicho?
Welcome, anytimeAsante sana Boss, barikiwa sana 🙏
Very happy birthday to you Virgo.... continue to be loyal, smart hard working.Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.
Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.
Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.
Amina🙏
MwaaaaaKheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,