Happy birthday to you To yeye

Happy birthday to you To yeye

Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina🙏
Happiest birthday to you dear, Mungu akupe kila hitaji la moyo wako kwa wakati sahihi.
 
Happy [emoji512][emoji512] Dear sis.
Ishi miaka km no za cm yako.
[emoji257][emoji257]
 
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina🙏
Happy birthday sweetie
 
Mbona haujasema Asante baba,..hujamshukuru baba mzazi Ila umemshukuru mama pekee
 
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina🙏
Happy birthday dada To yeye
 
Back
Top Bottom