Happy birthday to you To yeye

Happy birthday to you To yeye

Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina🙏
Happy birthday darling.
 
Umeshapata mume humu??

Anyway hainihusu..happy birthday my favorite crazy person in jf[emoji3059], live long chimama

NB:sijawahi kumu wish mtu bday humu ndani sababu hamtukaribishi kukata keki, sasa ole wako usinikaribishe
 
Mbona sijaona Asante Baba?
Happy birthday to you.
Uishi muda mrefu sana
 
Umeshapata mume humu??

Anyway hainihusu..happy birthday my favorite crazy person in jf[emoji3059], live long chimama

NB:sijawahi kumu wish mtu bday humu ndani sababu hamtukaribishi kukata keki, sasa ole wako usinikaribishe
nimepata bado ndoa tu.......Asante sana Mkuu
 
Back
Top Bottom