Le professel
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 636
- 960
Happy birthday to you Dada... Mwalimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy birthday darling.Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.
Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.
Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.
Amina🙏
Mbona sijaona Asante Baba?Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.
Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.
Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.
Amina🙏
Thawa😍😍😍Thanks so much Cute 🥰
nimepata bado ndoa tu.......Asante sana MkuuUmeshapata mume humu??
Anyway hainihusu..happy birthday my favorite crazy person in jf[emoji3059], live long chimama
NB:sijawahi kumu wish mtu bday humu ndani sababu hamtukaribishi kukata keki, sasa ole wako usinikaribishe
Ndio, nataka.Ulitaka?
Sawa mdogo wetu, karibu uzeeni