Happy Father's Day kwa akina baba wote JF na Dunia kwa ujumla. Una ujumbe gani kwa Baba yako leo?

R.I.P mzee Swai. Ulinifundisha kuwa Mwanaume halisi wa kimachame. Do and don't zako zimenifanya niendelee kupambana humu duniani.

Tuonane asubuhi ile, katika pambazuko lile. Katika karamu ya mwanakondoo.
Swai yupi? Mi namfahamu yule WA baobab
 
We mlongo, mbona mimi sielewi mnachoongelea wewe na huyu Kiungopunda?
 
Basi huyo ni baba wa hovyp zaidi duniani anayebariki mwanaye wa kiume apakuliwe mavi na wanaume wenzake. Hakuma baba hapo ila kuna kituko cha Baba. 😀😃😄😁
 
Basi huyo ni baba wa hovyp zaidi duniani anayebariki mwanaye wa kiume apakuliwe mavi na wanaume wenzake. Hakuma baba hapo ila kuna kituko cha Baba. [emoji3][emoji2][emoji1][emoji16]
Nimechekaa sana!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesha panick tayariiiii, poleeeee sanaaa.
 
Ni vizuri kuheshimu uwepo wa akina baba kila siku na kufurahia uwepo wao kila siku, hiyo tu inatosha. Kutenga siku moja na kuanza kujaza server za JF na mitandao ya kijamii siyo kabisa.

Ni nini chimbuko la hii siku? Imetokea wapi? Waasisi wake ni akina nani? Malengo ya kuwekwa siku ya leo ni yapi?
 
Hahaaaaaa sasa napaniki nini mkuu japo nachokupendeaga Coca hukasiriki hata tunapokuprovoke. Haya kuwa na Jumapili njema tajiri.
Asinikasirishe basha wangu anae nikunja 7 na kunihemea puani, ndo mnikasirishe waja wa JF? nimeshavuka huko zamaniii sana.

Nawee piaa Dominika njema!!!
 
Happy fathers day kwa baba mtoto wangu kipenzi, just know that ukiachana na changamoto zote Trudie anakuombea kila siku ili uendelee kubarikiwa mno maana umekuwa baba bora kwa binti yetu.

Siku ya leo natumia kukwambia we appriciate you so much unafanya mengi kwa ajili yetu. Pamoja na yote bado unasimama kama baba bora sana.

Ukipita katika uzi huu chukua wishes zako na baraka zako HAPPY FATHERS DAY BABA WATOTO.
 
Tatizo sisi Waafrika bado tunaishi kwa kutegemea fikra za mzungu kila anachokitunga na kukileta sisi ni wapokeaji na watekelezaji. Valentine Day, Women Day, Mothers Day, Fathers Day, AIDS Day. Tuishi kwa utashi wetu tumpende kila mtu na kuambiana mara kwa mara kwamba tunapendana na kuthaminiana.

Hizi siku zilitengenezwa na wazungu kwa malengo yao ya kibiashara...siku hizi ndipo wafanyabiashara wanauza sana maua, vyakula,na zawadi nyingine mbali mbali
 
Baba yangu kipenzi sina la kuongea zaidi ya kumuombea maisha marefu n baraka tele katika maisha yako. Kwa ufupi baba yangu ni baba bora zaidi duniani amekuwa na mimi katika hali zote na kusimama na mimi. HAPPY FATHERS DAY BABA TRUDIE nakupenda mno.
 
Umendika vizuri mno mleta mada, asante sana.
Sina ujumbe kuwa baba yangu ika kumtakia kupumzika kwa amani, ila aliacha mdogo mno! Mpa leo hii kwa kutokuwepo kwake sijaweza kusimama vizuri japo na jitahidi
 

Wengi ndio baba wenyewe wanasubiria huo ujumbe kutoka kwako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…