Happy sabbath: ikifika usiku someni bliblia vijana achaneni na uzinzi someni biblia vijana

Happy sabbath: ikifika usiku someni bliblia vijana achaneni na uzinzi someni biblia vijana

Takataka sana nyie vijana msio na elimu,Toka watu wasome biblia Kuna kipi wameisaidia Dunia kupiga hatua!?

Maarifa yako kwenye physics, chemistry, biology nk.
Badala ya kuwahimiza watu wasome PHYSICS wee unaleta ngonjera za wazungu!?
 
Wakuu kwema,

Nimefungua biblia leo nime kutana na ukurasa huu moja kwa moja basi nikaona ndio ukurasa ambao nilipaswa kuusoma kwa leo na nikaona ni share

ujumbe wake ulikuwa sio wa kawaida ulikuwa ni mkali sana wenye tumaini na maonyo.

vijana someni biblia

Danieli 12:2-7
2 Tena, wengi wa hao walalao katika mavumbi ya nchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa milele.

3 Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele.

4 Lakini wewe, Ee Danielii, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka.

5 Ndipo mimi, Danielii, nikatazama, na kumbe, wamesimama wengine wawili, mmoja ukingoni mwa mto upande huu, na mmoja ukingoni mwa mto upande wa pili.

6 Na mmoja akamwuliza yule mtu aliyevikwa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, Je! Itakuwa muda wa miaka mingapi hata mwisho wa mambo haya ya ajabu?

7 Nami nikamsikia yule mtu aliyevikwa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, hapo alipoinua mkono wake wa kuume na mkono wake wa kushoto kuelekea mbinguni; akaapa kwa yeye aliye hai milele na milele, ya kwamba itakuwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati; tena watakapokuwa wamekwisha kuvunja nguvu za hao watu watakatifu, ndipo mambo hayo yote yatakapotimizwa.
Kwa hiyo vijana wote wasome biblia, vipi Quran na vitabu vingine vya kulisha ubongo chakula?
 
Dhambi ni nyingi kama , uongo, ujivuni , kiburi cha uzima, usda , unyanganyi, upendo uliopoa , kamari, kunyoa denge, kupenda mali na anasa
Hivi hizi dhambi mnazotaja zote zinatoka kwa Mungu kweli? Kupenda mali siyo kosa.
 
Back
Top Bottom