Happy Valentine's Day my babe

Happy Valentine's Day my babe

Eeeh Yuko sawa kabisa,as long as umekubali mwenyewe uko upande wake hapana kumcheka na adui wa rafiki yako😁
🤣🤣🤣🤣 Da mau anataka adui yake awe adui yako..!!
Mi humu adui wa dada Joana ndo adui yangu wengine nacheka vzr 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Unamuandikia mtu ujumbe wa mapenzi ambaye hayupo alafu useme unafanya maandalizi hii haijakaa poa ndio mwanzo wa shida ya akili kuwa kubwa
Hamna bwana we ndio hujui,kasome kitabu Cha The Secrets Cha Rhonda Byrne ujifunze kitu kinaitwa manifestation uone watu wanavyotumia kuattract desire zao....dada Maua Yuko sawa kabisa acha kumtoa akili tafadhali (najua utabisha lkn)
 
Ipo.siku utaambiwa haya unayo niambia
Ngoja nikufanunulie vizuri unielewe mental illness maana yake ni ugonjwa wa akili, ugonjwa wa akili umegawanyika sehemu kuu mbili wa temporary ( wa muda ) na permanent (wa kudumu) huu wa kudumu ndio wa ukichaa na huu wa muda, mara nyingi ipo kwa kila mtu ikiwemo Mimi kuna mahala lazima urukwe kiakili ambacho kina mtokea kila mtu mfano Mzuri kuna celebrity mmoja alijinunulia gari akatangaza kuwa amenunuliwa na boyfriend wake huyu sio kichaa ila tu karukwa na akili ndio hii inaitwa mental illness ila ya temporary. Sasa mrembo hakuna sehemu nimekuita wewe ni kichaa na wala kwangu haiwezi ikawa hivyo kumwita mtu hivyo
 
Haya sasa humu hii post siwezi sema aliyetolewa ninani na kwanini hapana ni siri yangu huwezi lazimisha unambie mie kicHAA ETI KOSA nimetoa post hii labda wewe unatafura vichaa wenzako.wakutoe out
 
Back
Top Bottom