Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Ninawapenda na kuwaheshimu sana viumbe hawa wanawake.
"Ulimwengu ndio mama na anayewaponda apate laana".
"Ulimwengu ndio mama na anayewaponda apate laana".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msg nzuri kutoka kwa mdogo wetu mzuri Leejay49....love u too young sisy be blessed...Happy women’s day wanawake wote wa jamii forums, Mungu atuongoze na atusimamie kwenye kila kitu tunachoendelea kukifanya na atutimizie yote tunayostahili..
Wanawake sisi tumeumbiwa roho za huruma na upendo ndani yetu, nasisitiza sana tuzidi kupendana zaidi sisi kwa sisi, kujaliana na kusaidia pale inapobidi na ukiwiwa kumsaidia mtu just do it kwa upendo na usitegemee chochote kutoka kwake..
kingine tujitahidi kutanguliza vipaumbele vyetu kwanza kabla ya chochote kile, na asitokee mtu akakukwamisha kwa sababu zake binafsi au akakutumia kwaajili ya kufanikisha mambo yake kwanza, regardless huyo mtu ni nani.. Kamwe usikubali kutumika kama daraja watu wakuvukie kila siku ukiwa umesimama sehemu moja
Nawapenda mnoo ma big sisters wa jamii forums, i wish wote tungekua sehemu moja leo tusherekee kwa pamoja hii siku yetu muhimu
Kalpana Missy Gf Tayana-wog Lamomy Ms eyes Depal To yeye Amehlo Unique Flower Carleen Nifah Darlin Nuzulati Aaliyyah Shadeeya Dahan binti kiziwi Dr Lizzy Makiwendo Pridah Madame B financial services ephen_ Mahondaw Mideko cocastic Joanah Joannah Mama Mwana Valentina Mamy K
Nawapenda sana sana sana sana🥰❤️
Amin amin love thank you and be blessed babe!
Thanks dogoHappy women’s day wanawake wote wa jamii forums, Mungu atuongoze na atusimamie kwenye kila kitu tunachoendelea kukifanya na atutimizie yote tunayostahili..
Wanawake sisi tumeumbiwa roho za huruma na upendo ndani yetu, nasisitiza sana tuzidi kupendana zaidi sisi kwa sisi, kujaliana na kusaidia pale inapobidi na ukiwiwa kumsaidia mtu just do it kwa upendo na usitegemee chochote kutoka kwake..
kingine tujitahidi kutanguliza vipaumbele vyetu kwanza kabla ya chochote kile, na asitokee mtu akakukwamisha kwa sababu zake binafsi au akakutumia kwaajili ya kufanikisha mambo yake kwanza, regardless huyo mtu ni nani.. Kamwe usikubali kutumika kama daraja watu wakuvukie kila siku ukiwa umesimama sehemu moja
Nawapenda mnoo ma big sisters wa jamii forums, i wish wote tungekua sehemu moja leo tusherekee kwa pamoja hii siku yetu muhimu
Kalpana Missy Gf Tayana-wog Lamomy Ms eyes Depal To yeye Amehlo Unique Flower Carleen Nifah Darlin Nuzulati Aaliyyah Shadeeya Dahan binti kiziwi Dr Lizzy Makiwendo Pridah Madame B financial services ephen_ Mahondaw Mideko cocastic Joanah Joannah Mama Mwana Valentina Mamy K princess ariana Donatila
Nawapenda sana sana sana sana🥰❤️
Muone😂😂Thanks dogo
Tusherekee humuhumu leo tupite naked waone tulivyo wasupaaa
Tuanze na wewe fanya chapppMuone😂😂
Jamani 50/50 ni fursa sawa kwenye nyanja mbalimbali... ikiwa unalipwa milioni 10 kwa mfano. wewe mwanaume kama CEO na mwanamke alipwe mil. 10 sababu wote mna sifa zinazowawezesha kusimama kwenye nafasi hiyo, sio tano, mtoto wwa kiume akisomeshwa na wakike asomeshwe, nk, sasa fikiria kutokuwa na uonevu kwenye fursa nyingine zote.Waache kudanga, waache kuomba omba vocha, Mwisho kwa umuhimu wajue kuwa HAKUNA USAWA KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME. HIYO 50/50 NI UPUUZI MTUPU
Heshima kwa Wanawake wote.Wakuu mpo salama?
Siku ya Kimataifa ya Wanawake tarehe 8 Machi, ni muhimu katika kutambua jitihada, harakati na mchango wa Wanawake Duniani kote
Tunasherekea mafanikio ya Wanawake katika nyanja mbalimbali za Maisha kama vile mafanikio binafsi, kihistoria, kiuchumi, kisayansi, kisiasa na kiutamaduni, pamoja na kuhamasisha juhudi za kuleta usawa wa kijinsia Duniani kote
Una dada, mama, shangazi, rafiki ama binti wanaokuzunguka katika mazingira yako, ambao naamimi wanamchango mkubwa katika kufikia hapo ulipo.
Leo katika Siku ya Wanawake una lipi la kuwaambia?
Kauli mbiu iendelee tulia utunzwe🥰🥰🥰 Ahsante jirani kwa msg nzuri, wanawake ni jeshi kubwa ndiomana wanaume hawawezi kukamilika bila uwepo wetu 😜
Basi itakuja kubisha na nongwa zao 😂😂😂