Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache kudanga, waache kuomba omba vocha, Mwisho kwa umuhimu wajue kuwa HAKUNA USAWA KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME. HIYO 50/50 NI UPUUZI MTUPUAcha makasiriko Mkuu, halafu kaangalie uelewe maana ya halisi ya 50/50 kabla hujaja na makasiriko, sambaza upendo✌️
Kabisaa bff kauli mbiu ile ile 😂😂😂Kauli mbiu iendelee tulia utunzwe
Tusaidie maana,maana wengine hatuijui hiyo sisi tunaamini 50/50 ni mke aweke chake mezani mume aweke chake mezani.Acha makasiriko Mkuu, halafu kaangalie uelewe maana ya halisi ya 50/50 kabla hujaja na makasiriko, sambaza upendo✌️
Tumsamehe mkuu ndo uwezo wake umeishia hapo.ujumbe wango kwa Jokate afute kauli yake ya kulewa na kuvimbiwa madaraka kuwa wanaume wasipigiwe kura , yule ni kiazi mviringo kama wengine tu.
Wengi Wana mindset ya kuwa JUU ya mwanaume,ndo wanapokosea.wanasahau kwamba wao NI wasaidizi.nawapongeza wenye akili za kuweza kupambanua mambo hata kama Wana pesa kiasi gani au madaraka makubwa kiasi gani.wengi NI fuata bendera tu hawajui maana halisi ya cku hii.wangejitambua kidogo familia zisingekuwa na mamigohoro ya hovyo.Happy women's day.ila kule Afgan Stan sidhani kama kuna hii kituHappy women day ndio nini hio?
Wakafanye kazi, hakuna kubebwa bebwa wala kupendelewa,si wanataka haki sawa
Mimba yako alibeba nani??Thibitisha hilo
Umejibu kwa hekima kubwa had nikakuelewaJamani 50/50 ni fursa sawa kwenye nyanja mbalimbali... ikiwa unalipwa milioni 10 kwa mfano. wewe mwanaume kama CEO na mwanamke alipwe mil. 10 sababu wote mna sifa zinazowawezesha kusimama kwenye nafasi hiyo, sio tano, mtoto wwa kiume akisomeshwa na wakike asomeshwe, nk, sasa fikiria kutokuwa na uonevu kwenye fursa nyingine zote.
50/50 haionelei gender gani inapaswa kuwa superior kuliko nyingine, sababu hakuna mbora kati yetu, tuko tofauti na baadhi ya vitu tunakutana kama viumbe vyote duniani, lakini tofauti na ufanano kati ya wanawake na wanaume haifanyi mmoja kubwa bora na kudeserve more kuliko mwengine. Ongeza ufahamu kiasi Mkuu, na utengenishe na ideology nyingine zinazojaribu kutengeza chuki na mambo ambayo hayana msingi. Sambaza upendo✌️
Mtoto mmoja hapana bhana🥱😇😌🧐Kiwango cha kutotoa watoto kipunguzwe.Mtoto mmoja maisha bora jambo jema.
Me too babe doll, vipi mnaendeleaje jamani?? Mulasil ananifokea sana huku.!!Miss u😘🤣🤣
🤣😘Me too babe doll, vipi mnaendeleaje jamani?? Mulasil ananifokea sana huku.!!
Ngoja nikucheck tsap mdogo angu Tayana 😘😘😂😂😂