Happy Women's Day

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuendelee kujiombea tutabadilika tu siku moja
 
Kwanini hivi inakuaga hivi,mimi ndo mana sinaga marafiki wengi wa kike na sijui kwanini nikienda mahali lazima ntapata marafiki wa kiume kwanza na sio wanawake
Mi marafiki wa kike ninao ila wale close close wako watatu tu. Wengine story na tunaishi vizuri. Nasemaga labda sijui ubaya wao ila so far naishi vizuri tu na marafiki zangu wa kike ila napenda marafiki wa kiume zaidi.
 
Wengine wivu mama. Wengine wanachukia mtu bila sababu. Jiulize hayo yaliyowakuta hao wengine wao walikua na sababu gani ya kufurahia.
 
Dooh.
 
Asante wanyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…