Kuna watu wanafikiri huu Muungano,ni wa watu,au ulitengenezwa kidemokrasia,na unaweza kuvunjwa kwa makaratasi au mahakamani,
Hicho kitu hakipo,kama ambavyo,Mtwara waliishawahi kutaka wajitenge,na rasilimali zao,zisije dar!au mikoa ya kaskazini Arusha,Klm,Tanga kutaka kujitenga,Hilo haliwezekani,deepstste imeamua hivyo!
Zenj,ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Kigoma,Tabora,Tanga,au Singida,sasa unatenga vipi sehemu ya nchi!?hicho kitu hakipo,mtaishia kuumizwa tu,
Kwa wale wanaofatilia duru za kimataifa,watakuwa wanajua kilichowapata wale waliotaka kujitenga wa Jimbo la Catalonia kule Spain,walifulumshwa,wakakimbia nchi,sasa hv wapo jera.
Au fatilia kinachoendelea Hongkong na China,harsfu eti umwambie Mchina,aiache Hongkong iwe huru!!
Don't be naive guys!?Zenj haitatoka ndani ya Muungano,it's a security issue,Kuna vitu ccm wanaweza kufanya,lakini inapokuja swala la Zenj,hapo issue inakuwa sio Siasa Tena,ni survival ya Tanzania!!
Zenj will never go away,get it into ur heads and move on!!Malalamiko ya wananchi yapo Kagera,Kigoma,Tabora,Mtwara,lakini sio sababu za hiyo mikoa kujitenga,Swala la Muungano,ni kubwa kuliko hata Raisi wa Tanzania!!
Hata yeye akilegalega,wapo hardliners watamtuliza tu,