Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana nawe. Ila kumbuka wao huishi kwenye ndoto za mchana za kudhani kuwa wakiwa nje ya muungano wanaweza kuwa kama mabwana zao wa Mashariki ya Kati wanaowabagua na kuwadharau bila kuangalia Comoro wamefikia wapiHapo ndy kwenye utata,,
Population yao ni ndogo lakini fungu la pesa tunagawana sawa sawa.
Huoni kama hawana cha kulalamikia muungano?
Hapo ndy kwenye utata,,
Population yao ni ndogo lakini fungu la pesa tunagawana sawa sawa.
Huoni kama hawana cha kulalamikia muungano?
Zilizoungana ni nchi mbili sovereign states.Hapo ndy kwenye utata,,
Population yao ni ndogo lakini fungu la pesa tunagawana sawa sawa.
Huoni kama hawana cha kulalamikia muungano?
Inferiority complex, ukweli ni kwamba Tanganyika ndio inadumaza maendeleo ya Zanzibar, tunawakosesha hadi fursa hadhimu zinazopatikana OIC.Nakubaliana nawe. Ila kumbuka wao huishi kwenye ndoto za mchana za kudhani kuwa wakiwa nje ya muungano wanaweza kuwa kama mabwana zao wa Mashariki ya Kati wanaowabagua na kuwadharau bila kuangalia Comoro wamefikia wapi
Muungano umeshikiliwa na kipengele kimoja tu cha siasaKifupi Zanzibar hawatupendi wa Tanzania bara kwa kudhani wao ni waarabu koko wa oman (fikra za kimaskini)
Sasa kuliko kuleteana shida huko mbele ya safari, naomba serikali ifikirie kuuvunja huu muungano kwa amani bila damu kumwagika.
Haiwezekani kero za muungano zinatatuliwa tu zile zinazo wa favor wazanzibar huko Wabara tunaonekana punguani ndani ya muungano.
Sasa Zanzibar lazima iamue kuwa mkoa ndani ya Tanzania au ijitoe kwenye muungano.
Mawakili wa Tanzania wenye utaalamu juu ya mambo ya sheria fungueni kesi ya kupinga huu muungano sisi wananchi tutawaunga mkono. Hili jambo la Zanzibar kujiona bora kuliko nchi kamili ya Tanzania na wananchi wake halikubaliki hata kidogo.
Baada ya kuuvunja huu muungano huu uchwara, Wazanzibar mlio bara mjiandae kurudi kwenu Zanzibar au muukane uraia wa Zanzibar na muwe raia kamili wa Tanzania.
Heli kufadhili na kuithamini mbuzi Utakunywa mchuzi kuliko kuthamini watu fulani hivi wasiojitambua na kujali utu wa ndugu zao.
Nashukuru kuwa umekubaliana na hoja yangu kuwa bado Wazenj bado wanajiona kama waomani wasijue kwao ni watumwa wasio na thamani. Yaani, unajisifia Znz kuwa makao ya mpumbavu na mhalifu Sultan? Kweli, upumbavu ni zaidi ya mzigo. Kwanini usijivunie Uafrika wako? Kama znz ni sehemu ya Oman, kwanini Oman hawajaidai? Hata historia rahisi ya nchi yako huijui!Inferiority complex, ukweli ni kwamba Tanganyika ndio inadumaza maendeleo ya Zanzibar, tunawakosesha hadi fursa hadhimu zinazopatikana OIC.
Zanzibar ndogo yalikuwa makao mkuu ya Sultan wa Oman, kimsingi Zanzibar ilikuwa ni kama sehemu ya Oman na wakiwa hhru wana Uhuru wa kuungana na Oman, tukome kuwapangia maisha ndio maana wanatuchukia sana machogo tumejaa ujuwaji wakati tuna Ardhi kubwa hata kuitumia hatujui.
Huu ujumbe nadhani s ujumbe wangu. Sijaongelea Liberia. Umekurupuka. Umechemka na kuchemsha bure. Hilooo!Wewe ni mpumbavu jinga kabisa, unaijuwa historia ya Liberia?
Unajuwa kwamba mtoto wa Rais wa Liberia anacheza timu ya Taifa ya Marekani?
Utake ustake maingiliano ya Zanzibar na Oman hayawezi kufutwa na wewe kitimbakwiri uliyejaa chuki dhidi ya Wazanzibar.
Hata Rais Samia alipokwenda Oman alikwenda kumsalimu Mjomba wake ambaye ni Muoman.
Huna uchungu wowote wa kuikosa Tanganyika? Hauoni au kuhisi kuna mambo yamepwa kwa Tanganyika kukosekana?Mkuu 'Thailand',
Pamoja na kuielewa mada yako vizuri kabisa, lakini wazo tu la "kuuvunja Muungano ni la kihayawani.
Kwa nini uvunje Muungano kwa sababu hafifu kama hizo ulizotaja wewe. Utashindwaje kutatua hizo kero za kipuuzi kabisa ulizoeleza hapa!
Mbona watu wanapenda sana kukuza matatizo yanayochochewa na wapuuzi wachache, hasa walioko huko visiwani.
Wewe huoni kwamba unawafurahisha sana hawa watu wanapokuona unarukwa akili kiasi kile na michezo yao ya kijinga hii inayofanyika sasa, ikichagizwa na hao walioko madarakani sasa hivi.
Sasa nikwambie, hakuna wa kuuvunja Muungano wetu, ila kitakachofanyika ni kuwafanya waTanzania wote, bila kujali mtu katokea wapi, kuwa na fursa sawa katika Jamhuri hii.
Uwe Unguja au Makambako, utajisikia mTanzania kwanza kabla ya umakumbako wako.
Wadanganyika.sisi wananchi
Kwa kukosa vyeoMtaua Watu Kwa Pressure
Ukuvunjika Ujue Kuna Watakaokufa
Mkuu 'Yoda', kwa kawaida huwa ninakuchukulia tofauti sana na wachangiaji wengine humu JF, kwa sababu hukuchukulia kama mtu mwenye upeo mpana kuhusu maswala mbalimbali.Huna uchungu wowote wa kuikosa Tanganyika? Hauoni au kuhisi kuna mambo yamepwa kwa Tanganyika kukosekana?
Bhangi ni kitu mbaya Sana.Kifupi Zanzibar hawatupendi wa Tanzania bara kwa kudhani wao ni waarabu koko wa oman (fikra za kimaskini)
Sasa kuliko kuleteana shida huko mbele ya safari, naomba serikali ifikirie kuuvunja huu muungano kwa amani bila damu kumwagika.
Haiwezekani kero za muungano zinatatuliwa tu zile zinazo wa favor wazanzibar huko Wabara tunaonekana punguani ndani ya muungano.
Sasa Zanzibar lazima iamue kuwa mkoa ndani ya Tanzania au ijitoe kwenye muungano.
Mawakili wa Tanzania wenye utaalamu juu ya mambo ya sheria fungueni kesi ya kupinga huu muungano sisi wananchi tutawaunga mkono. Hili jambo la Zanzibar kujiona bora kuliko nchi kamili ya Tanzania na wananchi wake halikubaliki hata kidogo.
Baada ya kuuvunja huu muungano huu uchwara, Wazanzibar mlio bara mjiandae kurudi kwenu Zanzibar au muukane uraia wa Zanzibar na muwe raia kamili wa Tanzania.
Heli kufadhili na kuithamini mbuzi Utakunywa mchuzi kuliko kuthamini watu fulani hivi wasiojitambua na kujali utu wa ndugu zao.
Hakuna tanzania bara sema Tanganyika ueleweke.Kifupi Zanzibar hawatupendi wa Tanzania bara kwa kudhani wao ni waarabu koko wa oman (fikra za kimaskini)
Sasa kuliko kuleteana shida huko mbele ya safari, naomba serikali ifikirie kuuvunja huu muungano kwa amani bila damu kumwagika.
Haiwezekani kero za muungano zinatatuliwa tu zile zinazo wa favor wazanzibar huko Wabara tunaonekana punguani ndani ya muungano.
Sasa Zanzibar lazima iamue kuwa mkoa ndani ya Tanzania au ijitoe kwenye muungano.
Mawakili wa Tanzania wenye utaalamu juu ya mambo ya sheria fungueni kesi ya kupinga huu muungano sisi wananchi tutawaunga mkono. Hili jambo la Zanzibar kujiona bora kuliko nchi kamili ya Tanzania na wananchi wake halikubaliki hata kidogo.
Baada ya kuuvunja huu muungano huu uchwara, Wazanzibar mlio bara mjiandae kurudi kwenu Zanzibar au muukane uraia wa Zanzibar na muwe raia kamili wa Tanzania.
Heli kufadhili na kuithamini mbuzi Utakunywa mchuzi kuliko kuthamini watu fulani hivi wasiojitambua na kujali utu wa ndugu zao.
Tukivunja muungano Kuna nchi moja itaona madhara ya kuwa nje ya muungano itabidi iombe Tena kuungana bila masharti yoyoteMkuu 'Thailand',
Pamoja na kuielewa mada yako vizuri kabisa, lakini wazo tu la "kuuvunja Muungano ni la kihayawani.
Kwa nini uvunje Muungano kwa sababu hafifu kama hizo ulizotaja wewe. Utashindwaje kutatua hizo kero za kipuuzi kabisa ulizoeleza hapa!
Mbona watu wanapenda sana kukuza matatizo yanayochochewa na wapuuzi wachache, hasa walioko huko visiwani.
Wewe huoni kwamba unawafurahisha sana hawa watu wanapokuona unarukwa akili kiasi kile na michezo yao ya kijinga hii inayofanyika sasa, ikichagizwa na hao walioko madarakani sasa hivi.
Sasa nikwambie, hakuna wa kuuvunja Muungano wetu, ila kitakachofanyika ni kuwafanya waTanzania wote, bila kujali mtu katokea wapi, kuwa na fursa sawa katika Jamhuri hii.
Uwe Unguja au Makambako, utajisikia mTanzania kwanza kabla ya umakumbako wako.
Kifupi Zanzibar hawatupendi wa Tanzania bara kwa kudhani wao ni waarabu koko wa oman (fikra za kimaskini)
Sasa kuliko kuleteana shida huko mbele ya safari, naomba serikali ifikirie kuuvunja huu muungano kwa amani bila damu kumwagika.
Haiwezekani kero za muungano zinatatuliwa tu zile zinazo wa favor wazanzibar huko Wabara tunaonekana punguani ndani ya muungano.
Sasa Zanzibar lazima iamue kuwa mkoa ndani ya Tanzania au ijitoe kwenye muungano.
Mawakili wa Tanzania wenye utaalamu juu ya mambo ya sheria fungueni kesi ya kupinga huu muungano sisi wananchi tutawaunga mkono. Hili jambo la Zanzibar kujiona bora kuliko nchi kamili ya Tanzania na wananchi wake halikubaliki hata kidogo.
Baada ya kuuvunja huu muungano huu uchwara, Wazanzibar mlio bara mjiandae kurudi kwenu Zanzibar au muukane uraia wa Zanzibar na muwe raia kamili wa Tanzania.
Heli kufadhili na kuithamini mbuzi Utakunywa mchuzi kuliko kuthamini watu fulani hivi wasiojitambua na kujali utu wa ndugu zao.
Tukivunja muungano Kuna nchi moja itaona madhara ya kuwa nje ya muungano itabidi iombe Tena kuungana bila masharti yoyote
Kama waiita Zanzibar basi iseme TanganyikaKifupi Zanzibar hawatupendi wa Tanzania bara
Wewe ni vuvuzela , unataka kuvunja muungano JFKifupi Zanzibar hawatupendi wa Tanzania bara kwa kudhani wao ni waarabu koko wa oman (fikra za kimaskini)