Kwa maji na matope unatumia sedimentation process, kutokana na difference density ya water particles na matope, particles za matope zina density kubwa zitazama chini, maji yatakuwa juu hivyo unachuja maji anayatenganisha na tope, mwisho wa siku unatenganisha maji na tope. Kwenye kutenganisha huku, maji yatapotea kidogo kwasababu lile tope la chini litakuwa limeshikiliwa na maji, hivyo ili kupata tena vumbi lazima uache evaporation process I take place ku kausha maji ukabaki na vumbi.
Kwenye kuchanganya chumvi na maji, pia unapata mixture ya maji ya chumvi, hakuna chemical reactions, kuyatenganisha maji na chumvi ni kutumia evaporation process kwa kuyachemsha, maji yataondoka na utabaki na chumvi yako, hayo maji utayapoteza utabakiwa na chumvi.
Hata ukichanganya vimiminika viwili tofauti kama pombe kali na maji, unaweza kuvitenganisha ukapata pombe yako na maji kwa kutumia fractional distillation. Maji na pombe yana boiling points tofauti na latent heat of vaporization hivyo unatumia fractional distillation kuchemsha kwa viwango tofauti, kisha ule mvuke inaupitisha kwenye condenser unapoozwa na kurudi kuwa liquid. Hii pia ndio process itakayotumiwa kwenye ule mtambo wa kuichakata gesi yetu asili kuifanya iwe kimiminika LNG, na kuisagorisha nje kwenye mimeli ya ma tankers.
Kwenye kuchanganya baadhi ya vitu, chemical reactions hutokea na kutoa vitu vipya, yaani new products, hili ikitokea huwezi tena kutenganisha kurudia umbo la awali',
Hicho kinachotokea ni kitu kipya kinaitwa compound ukichanganya punje mbili za hewa ya hydrogen na punje moja ya hewa ya oxygen, h2o, unapata compound ya maji, ikiisha kuwa maji, huwezi kutenganisha tena yale maji ukaondoa ile hydrogen na oxygen, hiki tayari ni kitu kipya.
Ukitumbukiza chuma kwenye concentrated sulfuric acid, chuma kinayeyuka na kugeuka hewa, huwezi kuikusanya hiyo hewa kuigeuzà chuma!.
Kuzaliwa kwa mtoto ni muungano wa mbegu mbili ya baba, sperm na yai la mama, ovum kutengeneza kiumbe zygote, mbegu hizi zikiisha ungana biological process ya uumbaji inakuwa ndio imeanza, ile sperm imekufa na lile yai limekufa na kuumba kiumbe kipya baada ya miezi 9 anazaliwa mtoto. Mtoto akiisha zaliwa, hata wazazi mkigombana huwezi kumgawa mtoto kupata sperm yako na Mama yai lake, it's a complete process na irreversible, ndio maana dini zote zinazuia lile tendo la uumbaji kabla ya ndoa, na kiumbe kikitungwa ni dhambi kukiangamiza!.