Harakati ya kuuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu 'Thailand',

Pamoja na kuielewa mada yako vizuri kabisa, lakini wazo tu la "kuuvunja Muungano ni la kihayawani.

Kwa nini uvunje Muungano kwa sababu hafifu kama hizo ulizotaja wewe. Utashindwaje kutatua hizo kero za kipuuzi kabisa ulizoeleza hapa!

Mbona watu wanapenda sana kukuza matatizo yanayochochewa na wapuuzi wachache, hasa walioko huko visiwani.

Wewe huoni kwamba unawafurahisha sana hawa watu wanapokuona unarukwa akili kiasi kile na michezo yao ya kijinga hii inayofanyika sasa, ikichagizwa na hao walioko madarakani sasa hivi.

Sasa nikwambie, hakuna wa kuuvunja Muungano wetu, ila kitakachofanyika ni kuwafanya waTanzania wote, bila kujali mtu katokea wapi, kuwa na fursa sawa katika Jamhuri hii.
Uwe Unguja au Makambako, utajisikia mTanzania kwanza kabla ya umakumbako wako.
 
Naunga mkono hoja, Wazanzibar wapewe nchi yao, na jukumu la ulinzi wa nchi liwe lao wenyewe na chochote watakachohitaji kwetu inabidi walipe.

Kuja bara iwe kwa passport na viza, kufanya kazi iwe kuna work permit, hakuna kumiliki ardhi kama wazawa nk.. iwe hivyo hivyo kwa wabara wakienda kule..
 

Baadhi ya Familia yako na ukoo wako wenyewe hawakupendi sembuse Zanzibar
Mbona hujatangaza kuvunja ukoo?
 
Sasa kama viongozi wetu hawa equalize mambo sisi wananchi tufanyeje. Si ni kuingia front tu
Pambana na hao viongozi (in fact siyo viongozi), lakini usipambane na Muungano..
 
Unaanzaje kutatua kero za Muungano kwa manufaa ya Tanganyika wakati Rais wa Muungano ni kutoka Zanzibar na Rais wa Zanzibar ana makamu wawili Wazanzibari?? Na makamu wa Muungano .... M....tan........yika??
 
Mi tukipiga kura basi kura yangu itakua ya ndio unless iundwe serikali ya majimbo na Zanzbar iwe sehemu ya jimbo au jimbo kamili, otherwise kwa hichi kilichopo sasa ni ujinga ujinga, haiwezekani tuungane then wao still wawe na rais wao, bunge lao, serikali yao, mawaziri wao, wizara zao then serikali ya bara tunashare almost everything....Huu muungano siutaki.

But kama wanajua una umuhimu ambao sisi hatuujui then its ok, ila kwangu no na sio kwa ubaya[emoji4]
 
Vipi kuhusu Sudan Khartoum na South South Sudan Juba?
 
Naunga mkono hoja niheri muungano uvunjwe hauna faida kwa mtanganyika
 
Danganyika msivungwe na hawa wanaosema eti wazanzibari ndiyo wenye haki ya kulalamika wakati wamejazana na kuzaana sana bara kuliko hata huko kwao kwenye dhiki tupu. Wazenj wanaomba muungano usivunjwe waarabu koko wa Pemba wakajitenga na kuchinjana kama ilivyo asili yao. Zanzibar ina nini cha kuchangia kwenye muungano zaidi ya kuwa kupe kwenye mgongo wa tembo (Danganyika)? Natamani brother Mtikila angekuwa hai awatie kashikashi.
 
 
Hamna Mzanzibari yoyote anaepinga Uepo wa muugano
Speak for your godarn self.

UAMSHO wamefungwa miaka 8 kwa kupinga muungano. Utasemaje hakuna Mzanzibar anaepinga Muungano?

Zanzibar wapo na Tanganyika tupo tunaopinga, hatutaki Muungano. To hell na li muungano la kijinga hili linalonyonya Watanganyika.
 
For your information, Zanzibar hakuna dhiki.
Do your home work again.
Bora Tanganyika kuna dhiki kuliko Zanzibar.
 
Kimsingi Wazanzibar ndio wenye haki ya kulalamika na siyo Watanganyika.

Population yao ni ndogo sana, ni aibu kwa Mtanganyika kuwalalamikia Wazanzibar wakati power zote zipo Tanganyika.
Hapo ndy kwenye utata,,

Population yao ni ndogo lakini fungu la pesa tunagawana sawa sawa.

Huoni kama hawana cha kulalamikia muungano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…