Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Kwa aina ya Ukaguzi Huu Huyu Kiongozi Wakimbiza Mwenge Anaonekana ni Mkuda SAna.
.
Ni Kwamba Hajui Kuna Aina Ngapi Za Lami?
Screenshot_20220404-220709.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti mkuda sana, daah bongo tam hii ukiyeseka kwa stress ni kujitakia mwenyewe
 
Umuhimu wa mbio za mwenge umepungua sana uku gharama ya uendeshaji wake unapanda juu sana, nikiangalia naona serikali ikipoteza hela nyingi kuhost mbio za mwenge . Ni vizuri serikali ingetumia gharama izi zote kuongeza ujenzi wa miundombinu kama vituo vya afya na maji hususani vijijini kuliko kutumia gharama kubwa kwaajiri ya kuzungusha mwenge. Thamani yake haipo tena zaidi ya hasara/matumizi mabaya ya mali ya wananchi . Viongozi wa serikali ni vema kutathmini aya.
~KING LEON 1~
 
Huyo kiongozi atakiona cha mtema kuni , anaenda style ya Jiwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu mnooo lol.
 
Karne ya 21 hii, bado tuko busy kupoteza mamilioni ya shilingi ya walipa kodi, kwa ajili ya kukimbiza Mwenge wa Uhuru! Yaani miaka zaidi ya 60 imeshapita, bado tunaishi maisha ya aina ile ile!

Eti Mwenge unazindua miradi ya maendeleo! 🤔 Nchi ngumu sana hii.
 
Back
Top Bottom