Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

Sululu moja tu lami chaliiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja na mm nichukue sululu nitindue hii morogoro road hapa mbezi, nione ubora wake
Tindua uone,ndugu zako watakukuta Oyster Bay au Msimbazi kwa uhujumu wa miundombinu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Serikalini kuna auditors wengi
Internsl auditors,external auditors,civil engineers,project managers ambao wanafanyaga kazi hizi kwa nyakati tofauti.
Tuna kamati ya bunge ya miundombinu inafanya kazi hii
Sasa huu upuuzi wa hawa makada ya ccm wakimbizi moshi unaoitwa mwenge ni upotevu wa fedha na upuuzi..
Tuwaachie wataalamu kazi hizi
 
Ugonjwa kuingia huingia mara 1 ila kutoka inachukua muda sana.

Watu wameachiwa marafhi mengi sana ambayo kutoka mwilini/akilini itachukua muda sana...!

Hatarious.
 
Hii ni dharau kwa civil engineering na inapaswa kukemewa. Sio kila layer kwenye barabara haiwezi kuchimbika kwa kutumia sululu na ikichimbika haimaanishi iko chini ya kiwango. Hasichokijua ni kwamba chisel na nyundo ndogo huwa vinatumika kuchimba vishimo kwenye layer ili kutestiwa.

Kingine hiyo barabara ni kiwango cha SD sio ile lami nyingine na chini yake ni layer ya granular material na vyote hivi ni rahisi kuchimbika na sululu ukitumia nguvu ya kawaida na haimaanishi kuchimbika basi ni chini ya kiwango...dah basi ngoja niishie hapa.
 
Unatesti barabara inayopita gari ilobeba matani kibao kwa kuchimba na sururu..??🙄

Ko akishindwa kubomoa ndo imekidhi viwango au🤔
Inashangaza. Huyu kiongozi wa mwenge ni mwanasisa anayeabudu ushirikina. Ana abc za construction engineering aweze kukagua ubora wa barabara?
 
Kwanza, nani kaidhinisha upuzi huu!! Mhandisi wa wilaya, wa Mkoa wote wapo, tusema wamezidiwa na nini hadi yakatokea haya!! Haya Sasa atoe ripoti ya kitalaam juu ya barabara hiyo.
 
Hii ni dharau kwa civil engineering na inapaswa kukemewa. Sio kila layer kwenye barabara haiwezi kuchimbika kwa kutumia sululu na ikichimbika haimaanishi iko chini ya kiwango. Hasichokijua ni kwamba chisel na nyundo ndogo huwa vinatumika kuchimba vishimo kwenye layer ili kutestiwa.

Kingine hiyo barabara ni kiwango cha SD sio ile lami nyingine na chini yake ni layer ya granular material na vyote hivi ni rahisi kuchimbika na sululu ukitumia nguvu ya kawaida na haimaanishi kuchimbika basi ni chini ya kiwango...dah basi ngoja niishie hapa.
Bora angetumia rebound hummer
 
Hata kama ni ushabiki wa chama siwezisupport huu ujuha.Sasa hilo shimo litazibwaje hates likizibwa si tayari ni kiraka kwenye barabara mpya?
 
;

Napata taabu kufikiria hawa wenzetu wakimbiza mwenge wakirarua barabara kwa vipimo vya kikwao kwao.
TANROADS watujuze hiki ni kipimo gani?
 
Kipimo kipya 2022 kilichogunduliwa na wataalam mahususi toka CCM. Kipimo hiki ndicho kinacholazimisha uhalali wa Mwenge wa UHURU kuendelea kukimbizwa kila mwaka, licha ya watanzania kuupuuuzia.

Vipimo vingi kama hivi vitakuja mbeleni: vkiitwa NYUMBANI KUTAMU au Rudi nyumbani.
 
Kuna TARURA na TANROADS kote huko kuna ma engineer halafu barabara inakaguliwa ubora kwa kutinduliwa na sululu na hizo mamlaka ziko kimya. Hii inathibitisha tuko bara giza ambako watu wanajali matumbo yao tu.
 
Back
Top Bottom