Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kasomea siasa Sasa huu ujuzi wa kujua uimara wa lami sijui kaupata kisonge?Unatesti barabara inayopita gari ilobeba matani kibao kwa kuchimba na sururu..??[emoji849]
Ko akishindwa kubomoa ndo imekidhi viwango au[emoji848]
Aisee
Anafikiri hii ni ile kazi ya kupima oil kwa kidole?Anaangalia depth.
Safi sana
Duh CCM Ina vichaa wengi sana ukimuacha mwendazakeIkumbukwe kwamba Makamu wa Rais , Mh Philipo Mpango hivi karibuni alizindua mbio za Mwenge huko Njombe , ambako ilisisitizwa kwamba ni lazima miradi itayozinduliwa na Mwenge wa Uhuru iwe ni yenye ubora wa hali ya juu .
Hapa chini ni kiongozi wa mbio hizo za mwenge akitii maagizo ya Serikali kwa kuamua kupima ubora wa Barabara wakati mbio za Mwenge zikiendelea huko Njombe
View attachment 2177899
[emoji38][emoji38][emoji38]Kazi zingine hizi
Kwanini sururu litumike kupima Ubora wa barabara ya Lami ba sio tairi?
Kwani kuna magari ambayo matairi yake yamechongoka kama ncha za sururu?
Ngoja tuone
jamani huko ndio kupima ubora kwenyewe , Anaupiga mwingi sanaAisee kumbe huu upumbavu bado upo?
Ubora wa barabara unapimwa na kiongozi wa mwenge au na watu wenye taaluma ya ujenzi wa barabara?Kazi zingine hizi
Kwanini sururu litumike kupima Ubora wa barabara ya Lami ba sio tairi?
Kwani kuna magari ambayo matairi yake yamechongoka kama ncha za sururu?
Ngoja tuone
[emoji38][emoji38][emoji38]Ubora wa barabara unapimwa na kiongozi wa mwenge au na watu wenye taaluma ya ujenzi wa barabara?