CCM hamna hoja yoyote ya maana ya kumjibu Lissu...what u can do ni kuchoma office na kupiga mawe msafara wake.. very low!!
Kwa Sisi tunajua siasa huo ni udhaifu mkubwa mno!!
Kwa sasa kilichobaki ni kutegemea hisani ya Tume ya uchaguzi wakishirikiana na DPP na Mahakama Kuu kujaribu kutengua jina la mgombea wa CDM ili kuunusuru uongozi huu.
Hakika ndani ya CCM ya sasa hayupo wa kuzijibu hoja za Lissu... hayupo!!
Kinana angeweza kwa kiasi ila mmemuudhi...!! Mzee Mkapa (RIP) ameondoka kupisha mageuzi haya
.. mipango ya mwenyezi Mungu ni mikubwa mno kwa nchi yetu