Chukua bia 3 kwa mangi, bill ntalipa 29 October 2020 [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiona mtu anaandika topic kwa kirefu namna hii, basi ujue huyo ni CCM anataka kulazimisha kueleweka na kupinda maneno. Points ni short and clear
Presha imeshaanza kuwapanda eeh?!!![emoji23][emoji23] vyama vilivyozeeka
Kiakiliccm ni sawa eti!!Kuwakusanya waumini na viongozi wa dini (TAG) na kuwaandikia hotuba ya kusifia serikali yako ni sawa kwa kipindi hiki cha uchaguzi??