Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Karibu tumuhudimie shemeji yetuHaya bhana
we nimwalimu kada gani
Sekondari mkuuwe nimwalimu kada gani
Karibu tuwapendezeshe dada zetu na mama zetuHongera sana mkuu
Sawa, asanteKaribu tuwapendezeshe dada zetu na mama zetu
nimesha kufahamu vipi ile bodaboda mbona umemnyang'anya kijanaSekondari mkuu
Karibu sanaSawa, asante
Siwezi mkuunimesha kufahamu vipi ile bodaboda mbona umemnyang'anya kijana
Karibu nikubandike kucha mamiloosawa master kucha
Kujiogeza ndo dawa ya kumalizia kulilia mishahara inapochelewaππππ waalimu bhanaπππππ
AahaaaaaaaMpwayungu Village njoo uone wenzako wanajishughulisha sasa ole wako uandike nyuzi zako kama ule wa kucheleweshwa mishahara wakaenda kukopa uone
AahaaaaaaaaNikikukuta kwa my wife wangu nakubandua.
Uko unakofanyia kuna chuo? Hiyo biashara inatembea sana karibu na chuo afu cha ajabu kila eneo inakofunguliwa haikawii kujaza wateja.