Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Ukiacha ualimu wangu wa Serikalini, hii ndo hobby yangu.
Faida ya kuwa master kucha:
1) Uhakika wa kula ni nje nje, kulala njaa utake mwenyewe
2) Uhakika wa constant flow of income ni 100%
3) Kwa wale wavivu wa kumwaga sera Kwa warembo,hii kazi ni daraja la kuwapa warembo kirahisi
4) Connections, zote ukifanya kazi hii kuzipata ni dakika 0, updates zote za umbeya mjini Kwa kazi wewe utakuwa mbele ya muda.
5) Kazi zote zinazomhusisha mwanamke ni success guaranteed
Hasara:
Watachangia wengine