Harakati za master kucha

Harakati za master kucha

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2023
Posts
9,134
Reaction score
14,593
Ukiacha ualimu wangu wa Serikalini, hii ndo hobby yangu.

Faida ya kuwa master kucha:

1) Uhakika wa kula ni nje nje, kulala njaa utake mwenyewe

2) Uhakika wa constant flow of income ni 100%

3) Kwa wale wavivu wa kumwaga sera Kwa warembo,hii kazi ni daraja la kuwapa warembo kirahisi

4) Connections, zote ukifanya kazi hii kuzipata ni dakika 0, updates zote za umbeya mjini Kwa kazi wewe utakuwa mbele ya muda.

5) Kazi zote zinazomhusisha mwanamke ni success guaranteed

Hasara:

Watachangia wengine

IMG_20230525_175532.jpg
 
Aahaaaaaaa

Pamoja mkuuu acha nimwite shemeji yangu Mpwayungu Village
Uko unakofanyia kuna chuo? Hiyo biashara inatembea sana karibu na chuo afu cha ajabu kila eneo inakofunguliwa haikawii kujaza wateja.
Kuna moja imefungua opposite na geti letu nyumbani mpaka nakuja kuigundua ishaanza kujaza watu wanasubiri hapo imeanza ndani ya wiki.
 
Back
Top Bottom