Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Haran Sanga, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni akihojiwa kupitia Clouds TV Aprili 13, 2026 amesema;
"Changamoto kubwa Kigamboni ni tozo pale darajani kama hauna Tsh. mia Mbili huwezi kufika Kigamboni. Aidha upande boti au Tsh. 1,500 upite na gari darajani. Maisha ya wananchi wa Kigamboni ni kama maisha ya wananchi waliopo Magomeni au Tegeta ni hayo hayo. Unapoizungumzia Tsh. 200 kwangu Mimi ni hela ndogo lakini kwa mwananchi wa chini ile ni hela kubwa sana."
"Nauli za vivuko zipo za aina mbili kuna kivuko cha Azam wanalipa Tshs 500 ile MV Kazi wanalipa Tsh. 200"