Hard times will always reveal true friends

Nimepata ajali ya bodaboda.
Gari ya kwanza kufika eneo la tukio lilikuwa la wanangu. Wakaambiwa wabebeni majeruhi muwaacha hospital ya karibu, wakajibu wanawahi kwenye party. Wakaniaga kabisa.

Nilibebwa na nisio wajua, wakanifikisha hospital, wakanitunzia mali zangu, asubuhi wakaleta na chai kabisa. Ndipo wakanipa simu nikawasha nikatoa taarifa nyumbani. Nimekaa siku tatu hospital wale jamaa zangu hawajaja wala kupiga simu.

Walioniokota walinisalimu siku zote hospital mpaka nyumbani walifika kunijulia hali. Jamaa zangu nakutana nao mtaani wiki ya pili ndio daah pole sana zikawa nyingi. Ninatabasam tu.

Leo simpiti mwenye shida, kama siba uwezo wa kumsaidia nakaa mpaka atokee mwenye ana uwezo.
Stori yako nzuri sana inanigusa mnoo juu ya wanadamu na ubinaadamu.
 
Kuna broo wangu nilimkopesha laki 4 mpaka leo hataki kurudisha.

Kuna broo mwingine ana laki 4 zangu naye ame-mute utadhani sio yeye.

Kuna dogo nlimfanyia applications za diploma kwa pesa zangu akapata chuo now hata simu zangu hapokei.

Kuna dogo nimemfanyia applications kapata MD ingawaje ana II (technique know-how), lkn saivi ananipita sometimes hasalimii.

Ubandidu tunafundishana sisi kwa sisi binadamu.[/color]
sasa dogo hata kama sikulipi ndo uje unitangaze huku!
pole mara nyingi ukimkopesha mtu weka asilimia 50% kulipwa kwangu mtu akija akikopa laki nitampa 50,000/- na hapa nakua na uhakika wa kulipwa 30,000/-
 
Nimekuwa mtu marafiki Sana ...kidogo simu mwana uko wapi ...tupo sehemu flani...fresh unatimba ... Mnapiga vitu stories nini ... Kila mmoja kwake. Mambo mengi yani kwenye magroup huko mara huyu kafiwa mchange sijui harusi...wengine birthday mradi kupigana tafu ...Nikumbushe tu nilikuwa mnywaji mnywaji haswa wa pombe lakini sio MLEVI. Basi sasa nimepumzika almost 3 months ila vijiweni naenda club naenda nakunywa zangu baltika ama Alvaro Redbull ama any energy drink .... Na nikiwa nao masela fresh tu unawazungushia kidogo ... Ila kifupi ni kwamba wamekuwa sio wana tena Kama zamani. Unona kabisa kwenye macho ... Nikiangalia matumizi niliyokuwa nafanya nao utakuta mmekaa meza watu sita saba atazungusha mmoja au wawili ila Mimi naweza kuzungusha hata mara tatu au nne kabisa peke yangu wao storiii mafegiii bia hapana. Ila siku nkasema ngoja nifanye kupumzika hata miezi 6 au mwaka kabisa nione ntakaakaaje yaaani wana Kama vile wamechukia Mimi kupumzika kunywa pombe sijasema nimeacha Bali nimepumzika Kuna malengo nimejiwekea nikikamilisha ntarudi dimbani. Simu kupigiwa yaani ni shidaaaa
 
Wengine tushakua immune na marafiki na ndugu wanafiki always one man Army
 
Wakuu subirini kwanza nichomoe betri.

Ipo hivi katika maisha kila mmoja huja kwako kwa lengo la kukufikisha sehemu fulani katika maisha yako au kukufundisha kitu fulani katika maisha yako, na watu hawa wapo wale wanaoendelea kukaa katika maisha yako ili kutimiza lile kusudi la wao kuwepo na muda wao ukiisha huwa wanaondoka.

Tatizo letu sisi wanadamu huwa tunataka waendelee kuwepo tukidhani bado unawahitaji either kwasababu ya hisia zako au hali yako kwake. Hapa huwa tunakosea sana.

Kama umemsaidia mtu elewa kuwa ulikuwa ni miongoni mwa watu ambao Mungu alipanga kuwa kama baraka katika maisha yao na wewe kujifunza kitu ama kupata thawabu fulani ambayo sometimes unaweza usiione kwa macho.

Usilazimishe mtu kuwepo katika maisha yako kisa ulimsaidia mkuu, ulifanya kwa moyo na Mungu aliliona hilo hivyo huitaji kukumbukwa ili kupata faraja, hapana unapaswa kulitazama hilo katika macho ya tofauti.

Elewa siyo kila mtu anaekuja katika maisha yako atakuwepo milele, sahau hilo ndo maana hata mzazi inafikia hatua kutokana na umri wa mwanae inabidi bahadhi ya vitu anasitisha kufanya kwa mwanae. Watu wanakuwepo ili kukufanya wewe kuwa sehemu fulani kimaisha baada ya hilo usitegemee tena yeye kuendelea kuwepo, kama ikitokea kuendelea kuwepo basi jua kuna kusudi lingine la yeye kuwepo na kusudi hilo laweza kuwa zuri au baya ili kujifunza au kupata uzoefu fulani.

Kukosa uelewa wa mambo kama haya ndo chanzo cha kujengeana chuki zisizosaidia mwisho wa siku ndo mwanzo wa undugu kuvunjika na ndivyo ambavyo vizazi vinavyofuata kuendelea kutengana.

Kama lengo lako la kumsaidia mtu ni kutegemea malipo fulani either ya yeye kuendelea kuwepo katika maisha yako au malipo mengine yoyote basi jua huo msaada hautoki ndani ya moyo wako unafanya under influence.

Narudisha betri.
 
sasa dogo hata kama sikulipi ndo uje unitangaze huku!
pole mara nyingi ukimkopesha mtu weka asilimia 50% kulipwa kwangu mtu akija akikopa laki nitampa 50,000/- na hapa nakua na uhakika wa kulipwa 30,000/-
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Broo nilipe pesa yangu ASAP[emoji83][emoji83][emoji83]
 
Wakuu subirini kwanza nichomoe betri.

Ipo hivi katika maisha kila mmoja huja kwako kwa lengo la kukufikisha sehemu fulani katika maisha yako au kukufundisha kitu fulani katika maisha yako, na watu hawa wapo wale wanaoendelea kukaa katika maisha yako ili kutimiza lile kusudi la wao kuwepo na muda wao ukiisha huwa wanaondoka.

Tatizo letu sisi wanadamu huwa tunataka waendelee kuwepo tukidhani bado unawahitaji either kwasababu ya hisia zako au hali yako kwake. Hapa huwa tunakosea sana.

Kama umemsaidia mtu elewa kuwa ulikuwa ni miongoni mwa watu ambao Mungu alipanga kuwa kama baraka katika maisha yao na wewe kujifunza kitu ama kupata thawabu fulani ambayo sometimes unaweza usiione kwa macho.

Usilazimishe mtu kuwepo katika maisha yako kisa ulimsaidia mkuu, ulifanya kwa moyo na Mungu aliliona hilo hivyo huitaji kukumbukwa ili kupata faraja, hapana unapaswa kulitazama hilo katika macho ya tofauti.

Elewa siyo kila mtu anaekuja katika maisha yako atakuwepo milele, sahau hilo ndo maana hata mzazi inafikia hatua kutokana na umri wa mwanae inabidi bahadhi ya vitu anasitisha kufanya kwa mwanae. Watu wanakuwepo ili kukufanya wewe kuwa sehemu fulani kimaisha baada ya hilo usitegemee tena yeye kuendelea kuwepo, kama ikitokea kuendelea kuwepo basi jua kuna kusudi lingine la yeye kuwepo na kusudi hilo laweza kuwa zuri au baya ili kujifunza au kupata uzoefu fulani.

Kukosa uelewa wa mambo kama haya ndo chanzo cha kujengeana chuki zisizosaidia mwisho wa siku ndo mwanzo wa undugu kuvunjika na ndivyo ambavyo vizazi vinavyofuata kuendelea kutengana.

Kama lengo lako la kumsaidia mtu ni kutegemea malipo fulani either ya yeye kuendelea kuwepo katika maisha yako au malipo mengine yoyote basi jua huo msaada hautoki ndani ya moyo wako unafanya under influence.

Narudisha betri.
Umenena vyema. Na huu ndio uhalisia
 
teh..teh.. undugu kufaana hivyo ulinifaa sana kwa wakati ule jipange kunikopesha tena
 
Umeongea ukweli sana mkuu.

Hongera kwa kulitambua hili maana wengine mabifu hayaishi kutwa kumuongelea fulani yupo hivi yupo vile badala ya kukaa kimya kwa kuwa tayar sehemu yake katika maisha ya mhusika ashatimiza.
 
Umeongea ukweli sana mkuu.
Mkuu ukiishi kwa kuamini hili maisha yako yatakuwa tofauti na wengi mkuu maana wengine hupata mgonjwa ya presha kisa mtu fulani kufanya jambo fulani au kumfanyia yeye kitu fulani. Amani ya moyo wako na ijikite katika kusudi lako la kuwepo hapa duniani na siyo kuruhusu nguvu nyingine kuivuruga mkuu.
 
Rafiki yangu mpenzi alikuwa anafanya masters lakini si mzoefu wa computer. Alikuwa ana submit essay.

Nilikaa kwake mpaka saa sita usiku amemaliza kuandika, tume proof read na mume wake ndiyo nikamsaidia ku submit kwenye blackboard

Kujitolea muda, pesa na mawazo ndiyo urafiki
Aisee nilimsaidia Dada mmoja kuchapa na kutuma assignment yake yeye alikuwa hana uzoefu wa kompyuta lakini baada ya hapo akapotea yani hata salamu hakuna nikaelewa kuwa kama Mimi ndo ningekuwa ninauhitaji kama ule niliomsaidia asingeweza kunisaidia.marafiki wanaoweza kukuvumilia na kukusaidia katika kipindi kigumu ni wachache mno kwa zama hizi
 
Back
Top Bottom