Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Duh, chemba ndio nini aisee?
 
Uyu nae bwege tuuu.....ila nimempenda nape ameonyesha uwanaume.......wanakuja tuuu,,,,na nina furai sana kinachooendelea mana ata vipofu wataona kuwa ii ni blue na co white
 
Hamorapa kwa mbio zile hata usan bolt hamfikiii[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji3]
 
Swali kubwa hilo, NANI ALIESALAMA WEWE AFISA USALAMA AU RAIA WA KAWAIDA?
 
Sasa harmonapa kilichompeleka hapo ni nin jamani,mambo mengine ni ya kujitakia
 
Habari zilizonifikia hivi punde, huko aliko Hamorapa bado anatimua mbio tu.
 
Yani huyu hamo kiki asingekuwepo now tungekuwa tuna msifia maulid kitenge me kanifurahisha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
But [emoji111]
 
Huyo afisa mbona ngesem sana. Ndio shida kupewa vitengo kwa kupiganisha. Anaweka risasi chemba Alaf anarudisha mfukoni, ikimfumua ndukum je.? Pisto iko nje nje, je ukiporwa utafanyaje.? Silaha inatoka kwa sababu maalum. Shame kabisa kwa vyombo vya ulinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…