Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Tuache utani huyu harmo rapa yuko vizuri sana upande wa kiki he is always strategically positioned tatizo anaogopa binduki
 
Bora na wewe umeona usalama anavaa minguo ya kishamba namna ile kama katoka misungwi leo.
Naona watu mmeongelea sana swala la nguo za "kishamba" lakini kumbukeni hizo nguo ndo zinazomsaidia kutenda kazi bila kudhanika, wanasemaga "usiemdhania ndiye"
 
Tuache utani huyu harmo rapa yuko vizuri sana upande wa kiki he is always strategically positioned tatizo anaogopa binduki
Kukimbia ndio kumempa kiki zaidi!daaah jamaa kafika kwa wakati,yaani mle mle!
 
Bastola yenyewe aliiweka mkono wa kushoto wakati yeye anatumia mkono wa kulia, huyu tiss hana uzoefu wa kutumia bastola, kwanza anaitoa bastola kishamba kabisa
Bado hujajua Matumiz ya bastola Kwahiyo kaa kimya,zungumza mambo mengine
 
😀
 
Huyu dg hawez kiki, bastola aonyeshewe mwingne, yy ageuke kuwa baja, inaingia akilini kweli hii? Kumbe ata mose iyobo akimpa bit kiduchu tu atsnywew
 
Saf sana kitenge, umeonesha ushujaa sana kaka, wewe umeonesha uhodar,
 
aisee dogo ametimua mbio mpaka basi yaani nimecheka balaa.
 
Kilochoteka hapo na unprofessional kabisa... Hata kama umeagizwa kazi, kutumia akili za kuzaliwa ni mihimu sana pia...


Mpaka anaambiwa ataaharibu mambo sasa... lakini bado anapandisha jazba...


Ni hatari sana kwa kweli...
Wewe ulivyomuona alivyo na papara unadhani hata hizo akili za anazo?
 
mheshimiwa (mkuu) asilimia zake za uaminifu zinashuka kama betri ya tecno ya mchina,
 
Unawasingizia TISS bure huyo ni polisi wa kawaida ila mnaliona hili leo kwa Nape mbona kina Lema na Lisu wanaonyeshwa iyo kitu kila wanapotakiwa kukamatwa
 
KWA HIYO MKUKI MTAMU KWA NGURUWE,KWA BINADAMU MCHUNGU SIYO ? WAKATI WANAPOKAMATWA AKINA MBOWE,LEMA, LOWASA,MBONA NA WAO WAO WALITOLEWA BASTOLA LAKINI HAMKULALAMIKA.AKINA DR.ULIMBOKA WALIPOTEKWA WAKAENDA KUNG'OLEWA MENO NA KUCHA,MBONA PIA WALITOLEWA BASTOLA? AU WAO SIO BINADAMU ? ACHENI HIZOO....
 
Huyo atakuwa amefundishiwa mahali pengine wanapofundishia wajinga wenzake..
 
Mwanamke atakayeolewa na huyu jamaa lazima awe mkimbiaji lazima mtetezi hana!

Kanichekesha sana.
 
Narudia kuitazama tena na tena ili akili yangu ielewe na kuamini kuwa ni tukio halisi maana ajili yangu iliamini kuwa tukio hilo ni filamu ya bongo. Eti hao ndio wanausalama wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…