Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona watu mmeongelea sana swala la nguo za "kishamba" lakini kumbukeni hizo nguo ndo zinazomsaidia kutenda kazi bila kudhanika, wanasemaga "usiemdhania ndiye"Bora na wewe umeona usalama anavaa minguo ya kishamba namna ile kama katoka misungwi leo.
Kukimbia ndio kumempa kiki zaidi!daaah jamaa kafika kwa wakati,yaani mle mle!Tuache utani huyu harmo rapa yuko vizuri sana upande wa kiki he is always strategically positioned tatizo anaogopa binduki
Bado hujajua Matumiz ya bastola Kwahiyo kaa kimya,zungumza mambo mengineBastola yenyewe aliiweka mkono wa kushoto wakati yeye anatumia mkono wa kulia, huyu tiss hana uzoefu wa kutumia bastola, kwanza anaitoa bastola kishamba kabisa
Msanii Harmo rapa leo alienda kwenye kikao cha Mh. Nape kilichokuwa kinafanyia kwenye hoteli ya Protea. Baada ya kutokea sintofahamu askari/usalama alitoa bastola na kumnyooshea Nape Nnauye, tukio lile lilimpa wazimu Harmo Rappa na kujikuta anatimua mbio asijue aendako.
[HASHTAG]#HarmoBolt[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BoltRappa[/HASHTAG]
😀
Anaitwa maulid kitengenaomba kumjua huyu mkuu aliyeepusha shari mwenye suti ya pink ,da anaujasili sana sana
Wewe ulivyomuona alivyo na papara unadhani hata hizo akili za anazo?Kilochoteka hapo na unprofessional kabisa... Hata kama umeagizwa kazi, kutumia akili za kuzaliwa ni mihimu sana pia...
Mpaka anaambiwa ataaharibu mambo sasa... lakini bado anapandisha jazba...
Ni hatari sana kwa kweli...
Hivi huyu Jamaa aliemtolea Nape Bastola ni nani?
Yaani kabisa ndio wamefundishwa hivyo huko TISS? Yaani yeye hawezi kujenga hoja? Au anafikiri mtu mpaka kufikia hatua ile anaogopa hizo Risasi?
Kwanza kavaa jeans ya kishamba sana kapelo ya kikoromije! Wenzake wote wako smart and Busara za Hali ya juu.
Inamaana yeye Ndiye aliambiwa Kamtoe akikataa PIGA RISASI ILKUSUDI TUTAWALE BILA OBSTACLES?
Mimi kama Mtanzania sijapenda kabisa lakini uzuri wa KARMA ni kama Kioo, Haidanganyi hata ufe Leo, Itakuandama tu.
Ewe mtoa uhai kwa Bastola Amewaaibisha sana Wenzio Leo, Huyo Bado ni Mbunge na Anajua siri nyingi sana za chama na serikali huenda kuliko wewe na huyo mwenzio aliebariki matumizi ya Bastola.. mmeona Bunduki na Bastola ndio mkombozi Wenu...
Mungu Haendi Likizo.

Nasikia amefika iringa bado anakimbia .....Siasa kitu cha ajabu sana
[emoji2][emoji2][emoji2]harmorapa sijui atakua kafika wapi maana hizo mbio si mchezo
Narudia kuitazama tena na tena ili akili yangu ielewe na kuamini kuwa ni tukio halisi maana ajili yangu iliamini kuwa tukio hilo ni filamu ya bongo. Eti hao ndio wanausalama wetu.Mie mwenyewe nimeshangaa!I expected them to be people from the same system lakini hawaonyeshi kuwa na team work.
Hili tukio limenistua sana,i keep on repeating again and again hii clip siamini nnachokiona.
Mpaka raia wanasogea na kuwatulizeni maafisa usalama,sasa nani aliye salama,wewe mwenye fani yako au yule raia mbumbumbu?Doh!