Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

hamorapa a.k.a hamousain bolt amelala sshv lkn bado miguu yake inakimbia nadhani atakua anaota anafukuzwa na vifaru
 
57521ee4eb76327b5ea2954c6030d7d0.jpg
 
Fake Tanzania hivi tukio lilotokea Leo limeanza kuzimwa na Huyu Harmorapa?

Yaaani tukio limekuwa kichekesho duuu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Hahh huyu jamaa ni nomaa anapenda kucheza na matukio kweli yan
 
Jinsi alivyotoa hiyo bastola inaonesha ni jinsi gani asivyo na maamuzi yenye akili, huwezi kuwa mtumizi wa mkono wa kushoto ukaweka bastola mkono huo huo.
Training gani hiyo? Unatoa bastola mpaka vest inaonekana.
Daah bongo bana!!huna hata gobore lakini unajifanya unajua kuliko hata mwenye nayo[emoji28]
 
nime jaribu kuwaza huyo afisa usalama amethubutu kutishia na bastola yake hadharani inakuaje akiwa uchochoroni akikutana na mwananchi wakawaida asie kua na sauti.. hii nchi tunapoelekea sijui
 
Mi naona hawa sio askari , askari na kama ni askari hawana weledi. Wameshindwa kutoa kitambulisho kujitambulisha kisha kueleza lengo lao
Licha ya kitambulisho bastola anaitoa kwa mkono wa kushoto wakati anatumia mkono wa kulia,hapo hata kama mtu hana silaha angemzibiti kirahisi sana
 
Ni vigumu kuhamini kwamba Tanzania ni Nchi huru kwa hili suala la Nape Nnauye bora wakoloni weupe
 
Uyo boya anajifanya anajua kutumia bastola...angekutana anga zangu aone...yani pona yale labda anishoot lasivyo eti anatishia afu anarudisha mfukoni..
Nammaliza mm afu tukutane mahakamani self defence ndo defense yangu mazafaka
 
Msanii Harmo rapa leo alienda kwenye kikao cha Mh. Nape kilichokuwa kinafanyia kwenye hoteli ya Protea. Baada ya kutokea sintofahamu askari/usalama alitoa bastola na kumnyooshea Nape Nnauye, tukio lile lilimpa wazimu Harmo Rappa na kujikuta anatimua mbio asijue aendako.
[HASHTAG]#HarmoBolt[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BoltRappa[/HASHTAG]




Mmmmh
mkuu badala ya kumhurumia nape ,,
nimecheka hadi nimekaa chini.
hamorapa level zake za kiki si za nchii hii
 
Back
Top Bottom