City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
"Ain't no gun that they make can kill my soul"- J Cole.Hakuna risasi zitakazoua watanzania wote....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Ain't no gun that they make can kill my soul"- J Cole.Hakuna risasi zitakazoua watanzania wote....
"Sure" huyo ni m CCPUnawasingizia TISS bure huyo ni polisi wa kawaida ila mnaliona hili leo kwa Nape mbona kina Lema na Lisu wanaonyeshwa iyo kitu kila wanapotakiwa kukamatwa
Inachekesha sana. Kiki nyingine mbaya, waweza tolewa roho bila ajizi!mkuu badala ya kumhurumia nape ,,
nimecheka hadi nimekaa chini.
hamorapa level zake za kiki si za nchii hii
Daah bongo bana!!huna hata gobore lakini unajifanya unajua kuliko hata mwenye nayo[emoji28]Jinsi alivyotoa hiyo bastola inaonesha ni jinsi gani asivyo na maamuzi yenye akili, huwezi kuwa mtumizi wa mkono wa kushoto ukaweka bastola mkono huo huo.
Training gani hiyo? Unatoa bastola mpaka vest inaonekana.
Licha ya kitambulisho bastola anaitoa kwa mkono wa kushoto wakati anatumia mkono wa kulia,hapo hata kama mtu hana silaha angemzibiti kirahisi sanaMi naona hawa sio askari , askari na kama ni askari hawana weledi. Wameshindwa kutoa kitambulisho kujitambulisha kisha kueleza lengo lao
Msanii Harmo rapa leo alienda kwenye kikao cha Mh. Nape kilichokuwa kinafanyia kwenye hoteli ya Protea. Baada ya kutokea sintofahamu askari/usalama alitoa bastola na kumnyooshea Nape Nnauye, tukio lile lilimpa wazimu Harmo Rappa na kujikuta anatimua mbio asijue aendako.
[HASHTAG]#HarmoBolt[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BoltRappa[/HASHTAG]
mkuu badala ya kumhurumia nape ,,
nimecheka hadi nimekaa chini.
hamorapa level zake za kiki si za nchii hii