Harmonize akiwa na Boss wake mpya

Wazungu hapo wanasema KUPANDA NA KUSHUKA KWA HARMONIZE
 
Fia
 
Akitaka apotee kwenye ramani aondoke WCB
Usimpangie mtu maisha aisee riziki anaitoa Mungu popote ulipo ni huwezi mpangia maisha kila mtu anamipango yake kwenye maisha kuna kujaribu na kunakushuka na kupanda, alichokifanya ni sawa atapata taabu kwa wakati lakini ni bora amejaribu kuliko kuwa muoga wa maisha.
 
Sasa wewe ulitaka abakiee hko wasafi mpaka mwisho.......

Ova
 
Amekuwa,ni jambo la maana sana,uongozi wa wasafi hususani Chief dangote,Platinum,inabidi aelewe tu.
Mbona yeye Diamond,aliachana na group la kina Bob junior,akaenda kufata ndoto yake.
Hebu fikiria Hapa Diamond anamiliki kampuni,katoa ajira kibao,kule Konde Boy naye amiriki vituo vya TV na redio!
Tukiwa na kina Diamond,Harmonise,Ali kiba kama mia hivi,no tija kwa uchumi na mustaakbali wa vijana
 
Haya mambo bhana... Kama nakumbuka vyema Harmonize alisema, picha za Instagram sio maisha halisi. Hamuelewi tu.

Kwanza, Email ya kufanya booking kwa huyu jamaa bado ni ile iliyokuwepo since day one. Sijui nyie hizi habari mnazitoa wapi
 
Wasiwasi wangu ni experience ya huyo Jembe ni Jembe, sidhani kama anaconnection kubwa kwenye industry hasa kimataifa kumzidi Sallam SK, huyu jamaa anafanyia majaribio kupitia Harmonize, kama matokea hayatakua sawa na expections zake basi huo ndo utakua mwisho wa Harmonize. Kwa sasa tuuachie muda utatupa majibu.
 
hana lolote
 
Mtoto ukikua unaaga kwa baba kuwa sasa nahama hapa home nimepata kazi, nimepata mchumba, kisha mzee anakupa mabaraka yake unasepa. Sasa huyu mtoto kakua tumuombee atusue lakini aondoke home kwa amani zote.
VP kama ameaga na wanamkatalia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…