Harmonize akiwa na Boss wake mpya

Harmonize akiwa na Boss wake mpya

Ndio huyo aliyesuka?
Mie najua zaidi waimba kwaya za gospo kuliko wanamuziki
 
Hivi Harmonize hapa si ndio boss, au hii mambo ikoje? Nilitegemea useme yuko na timu yake. Mfano Wasafi Diamond si ndio boss wao, au ni Fela?
 
Hivi Harmonize hapa si ndio boss, au hii mambo ikoje? Nilitegemea useme yuko na timu yake. Mfano Wasafi Diamond si ndio boss wao, au ni Fela?
Boss ni kusaga, kina Tale na Salam waliwekwa na Ruge. Imagine Fela ni manager wa Diamond anafanya kazi gani? ana mipango gani? ni watu ambao aliwaweka Ruge na leo mkataba unamtafuna Dai.
 
Haya mambo bhana... Kama nakumbuka vyema Harmonize alisema, picha za Instagram sio maisha halisi. Hamuelewi tu.

Kwanza, Email ya kufanya booking kwa huyu jamaa bado ni ile iliyokuwepo since day one. Sijui nyie hizi habari mnazitoa wapi
Na yale magari anayotoa zawadi kwa wazazi wake na wasanii wenzie!!?? Kataa/kubali, ukweli ni kuwa maisha ya Harmo yamebadilika sana chini ya WCB. Issue ya kuondoka si dhambi ila issue ni anaondokaje?
 
Atapotea vipi wakati wote boss wao ni Kusaga? hizo ni strategy za biashara dogo.
Fikra za kimasikini. Kusaga hana utajiri huo unaofikiria wa kummiliki kila mtu. Kwa taarifa yako Mondi kwa hatua aliyofikia kiuchumi anakaa dawati moja na huyo tajiri wako.
 
Mavoko aliondoka ndani ya mkataba ndo maana alikuwa analia BASATA wamsaidie kwani mkataba mgumu. Kwa sasa Mavoko hawezi fanya kitu mkataba unambana.

Harmonize mkataba umeisha akaweka terms zake WCB wakakataa yeye akakaa nje. Inatakiwa iwe win win situation
 
Akitaka apotee kwenye ramani aondoke WCB
Wcb sio mungu tambua Hilo km suala ni kumsaidia hata diamond apo alipo fika kuna watu wamemsapoti weee Nani mpaka umtabirie mwenzio kupotea!harmonize songa mbele wamakonde wote tuko nyuma yako[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]km hutaki bana choo
 
Sio mbaya kwan hata mentor wake alikikuwa under watu kitambo akajikataaa ndo aka build empire yake SASa mwamba nae kaota ndevu mbili acha akajenge empire yake tuu[emoji23][emoji23] tupate wapinzani wapya mujini
Haswaa
 
Back
Top Bottom