Sijui ni damu ya enterpreneurship au ni nn lakin sipendi mtu anaepiga chini ya mkanda...huyu jembe ni jembe anakosea sana mtu katengenezwa mpaka kawa hivyo then unaanza lobbying na hatimae atamtupa tu..mbaya sana...kwenye biashara mtu wa namna hii sipatani nae kabisa
.....jamaa ataivunja wasafi in a Half...Believe me !
Man, huyu Ruge watu wanampa tu credit kwa sababu tumeaminishwa Ruge ndie mastermind wa kila kitu kwenye tasnia ya muziki hapa bongo! Diamond alianza na Chifu Kiumbe, na ndie naweza kusema mwenye mchango mkubwa!! Baadae Chifu Kiumbe akaamua kuachana na masuala ya burudani na kumrudia Mungu wake!! Kuona hivyo, Diamond akaenda kwa Tale kuomba amsimamie labda kwavile alikuwa anayaona mafanikio ya Tip Top Connection! Tale kwa kuona Diamond ni mkubwa sana (kwa sababu alienda kwa Tale wakati tayari yupo juu), nae akamuomba Fella washirikiane, kwa sababu Tale mwenyewe amekiri mara kadhaa kwamba role model wake yeye ni Said Fella!!Kwa mawazo ya wengi humu nimegundua risk taking is not our thing,Diamond asingekua na mawazo kama ya Harmonize angebaki kwa Ruge
Hivi huyu Ruge mnayesema ndie alimtengeneza Diamond, alimtengeneza lini?! Man, kabla Diamond hajawa chini ya akina Tale, alikuwa na Papa Misifa na sio Ruge!!Hata Diamond alitengenezwa na akina Ruge Ila Mda ulipofika. Akapata wapambe Nakujitenga nao,.
Muacheni Dogo ajitengenezee Himaya Yake
Mkuu wakina juma nature walijalibu kuachana na saidi fella angalia saizi wako wapi wameishapotea. Juma nature alikua maarufu kuliko diamond saizi enzi hizo akawa hadi ana drive benz na ma show hadi south africaSimshangai kwa sababu amekua kisanaa na kiakili pia siku zote mtoto akikua kiakili anahama nyumbani kwa baba yake anakwenda kutengeneza mji wake anajenga familia yake ila akidumaa atafika miaka 40 nakuolea nyumbani anabakia kusubiri baba afe arithi nyumba na mali
Binafsi nnampongeza harmonize sababu ana akili ameweza kujitambua mapema kutengeneza ngome yake ili na yeye awape vijana wengine ajira
Domo kama ni mwerevu na ana roho safi kama anavyo jionesha kwa jamii alitakiwa ampongeze tena amuongezee na mtaji kisha afanye sherehe kuthibitisha kwamba kijana wake amekua na anaweza kujitegemea nadhani hiyo ndio itakua fahari kwake zaidi
Duu umesoma ulichoandika kweli?? Umeona wapi mtu anawekeza sehemu isiyo na faida.Ukiona watu wanaondoka jua kuna kitu si bure, unaweza kuta wanaingia a billion alafu msanii mwenyewe anaishia kuonja 30mil, less than 10% ya anachoingiza (speculation). Ila si bure wasanii wanakuja na kuondoka tu. Tatizo watu wanamuona mond ka mungu wanasahau jamaa binadamu tu na anapenda hela kama wengine. Alitengeneza wcb kupiga hela sio kutoa msaada. Kama konde boy anataka kusema ngoja asepe, ashakua hyuu si mtoto tena.
Jembe ni jembe kwa kule mwanza ni Guru ana hadi radio stationWasiwasi wangu ni experience ya huyo Jembe ni Jembe, sidhani kama anaconnection kubwa kwenye industry hasa kimataifa kumzidi Sallam SK, huyu jamaa anafanyia majaribio kupitia Harmonize, kama matokea hayatakua sawa na expections zake basi huo ndo utakua mwisho wa Harmonize. Kwa sasa tuuachie muda utatupa majibu.
Toa bangi zako hapa ebooooohBoss ni kusaga, kina Tale na Salam waliwekwa na Ruge. Imagine Fela ni manager wa Diamond anafanya kazi gani? ana mipango gani? ni watu ambao aliwaweka Ruge na leo mkataba unamtafuna Dai.
Huyo alikuwa back up ya Dai mambHarmonize ni nanii?
Tushamsahau
*Vanny to the world*
Fela ni meneja wa nini?Toa bangi zako hapa eboooooh
Kwa hoja yako hiyo unataka kutuambia hata Wanaume walikuwa chini ya Ruge lakini Fella aliwekwa tu pale!!! Ile Tip Top ya akina Abdul Bonge ambayo ilikuwa ina-shine sana enzi zile na yenyewe ilikuwa chini ya Ruge na akina Tale waliwekwa tu pale na Ruge!! Hivi una habari huyo Diamond alishawahi kutimuliwa pale THT kwa hoja kwamba hajui kuimba?! Sasa huyo Ruge alianza kum-manage Diamond lini hata hiyo kimya kimya?! Manake hata enzi za Smooth Vibes, Diamond hakuwepo!!Boss ni kusaga, kina Tale na Salam waliwekwa na Ruge. Imagine Fela ni manager wa Diamond anafanya kazi gani? ana mipango gani? ni watu ambao aliwaweka Ruge na leo mkataba unamtafuna Dai.
Dogo atapotea kama upepo.Huku uongozi wa WCB kupitia Said Fella ukisisitiza hautabembeleza Harmonize kutumbuiza Wasafi festival na Kama Harmonize anataka kuondoka aage kwa amani.
Harmonize amekuwa akionekana na boss wake mpya Jembe Ni Jembe wakipanga mikakati mbalimbaliView attachment 1186225View attachment 1186226
[emoji120][emoji120][emoji120]Muombeeni atusue tunataka tuwe na wanamuziki wengi wenye mafanikio hii habari ya dimond na kiba inatosha
Simshangai kwa sababu amekua kisanaa na kiakili pia siku zote mtoto akikua kiakili anahama nyumbani kwa baba yake anakwenda kutengeneza mji wake anajenga familia yake ila akidumaa atafika miaka 40 nakuolea nyumbani anabakia kusubiri baba afe arithi nyumba na mali
Binafsi nnampongeza harmonize sababu ana akili ameweza kujitambua mapema kutengeneza ngome yake ili na yeye awape vijana wengine ajira
Domo kama ni mwerevu na ana roho safi kama anavyo jionesha kwa jamii alitakiwa ampongeze tena amuongezee na mtaji kisha afanye sherehe kuthibitisha kwamba kijana wake amekua na anaweza kujitegemea nadhani hiyo ndio itakua fahari kwake zaidi
Harmonize kuondoka WCB si sababu ya kukua ila mshiko ndio tatizo.
Naona mkataba ameona wambana sana
eti domo' wewe li kichwa lako hulioni bayaaaa 😆 😆Simshangai kwa sababu amekua kisanaa na kiakili pia siku zote mtoto akikua kiakili anahama nyumbani kwa baba yake anakwenda kutengeneza mji wake anajenga familia yake ila akidumaa atafika miaka 40 nakuolea nyumbani anabakia kusubiri baba afe arithi nyumba na mali
Binafsi nnampongeza harmonize sababu ana akili ameweza kujitambua mapema kutengeneza ngome yake ili na yeye awape vijana wengine ajira
Domo kama ni mwerevu na ana roho safi kama anavyo jionesha kwa jamii alitakiwa ampongeze tena amuongezee na mtaji kisha afanye sherehe kuthibitisha kwamba kijana wake amekua na anaweza kujitegemea nadhani hiyo ndio itakua fahari kwake zaidi
Ulicho kiandika umekisoma? Harmonize anaenda kuwa chini ya uongozi/usimamizi/managemnt chini ya jembe ni jembe sasa hapo anajenga empire ama?Sio mbaya kwan hata mentor wake alikikuwa under watu kitambo akajikataaa ndo aka build empire yake SASa mwamba nae kaota ndevu mbili acha akajenge empire yake tuu[emoji23][emoji23] tupate wapinzani wapya mujini
Huku uongozi wa WCB kupitia Said Fella ukisisitiza hautabembeleza Harmonize kutumbuiza Wasafi festival na Kama Harmonize anataka kuondoka aage kwa amani.
Harmonize amekuwa akionekana na boss wake mpya Jembe Ni Jembe wakipanga mikakati mbalimbaliView attachment 1186225View attachment 1186226
Tusubiri yasije kumkuta ya PNC na mavokoHuyu mmakonde
Ngoja muda utaongea !