Harmonize akiwa na Boss wake mpya

Sallam hana huo uwezo, prime time ndio ilikua inaleta wasanii ndio diamond akaunganishwa kufanya remix na davido alivyokuja fiesta
 
Kwenye ishu ya malaria kaangalie wakina barbaba na Mwasiti na Lina waliimba na msanii gan kutoka marekan
 
Mtu aliekua anamanage tiptop ndio alikua anapewa michongo na Ruge sijui kama unamfaham Marehem Taletale kaka yake babu Tale na sio kila alieko tht angeweza fika alipo Diamond kila mtu anakarama yake kwa upande wa kimafanikio wamefika pazuri
 
Kuna sehemu nimeandika Ruge ndio amemtoa Mondi?usijitungie swali
Wewe jamaa unajichanganya wewemwenyewe we umesema diamond alikuwa ana managiwa na ruge nimekusahihisha Sasa hiv unaniruka unasema kitu ambacho sijakuambia ebu jaribu kupitia Tena mazungumzo yetu siku nyingine usijifanye mjuaji wakati Kuna watu wanajua kuliko wewe.
 
Mtu aliekua anamanage tiptop ndio alikua anapewa michongo na Ruge sijui kama unamfaham Marehem Taletale kaka yake babu Tale na sio kila alieko tht angeweza fika alipo Diamond kila mtu anakarama yake kwa upande wa kimafanikio wamefika pazuri
Jamaa kakuuliza vizuri Kama ingekuwa ruge alikuwa anatafuta international artists wakufanya na diamond kwanini kashindwa kuwatafutia nandy,mwasiti,barnaba n.k hata mmoja wakufanya nao kazi na ukinzingatia hawa artists wote wapo chini yake?
 
katika komenti bora kwenye huu uzi basi na hii ni moja wapo
 
Mtu aliekua anamanage tiptop ndio alikua anapewa michongo na Ruge sijui kama unamfaham Marehem Taletale kaka yake babu Tale na sio kila alieko tht angeweza fika alipo Diamond kila mtu anakarama yake kwa upande wa kimafanikio wamefika pazuri
Unaniuliza ikiwa namfahamu Marehemu Tale Tale wakati hapo juu nimemtaja Abdul Bonge?! Au limekuchanganya hilo jina?! Kwamba Abdul Bonge alikuwa anapewa michongo na Ruge; kwani suala la kupeana michongo kwa watu wa tasnia moja ni jambo la ajabu?! Mimi nimekuuliza ikiwa Tip Top Coonection na yenyewe ilikuwa chini ya Ruge!!!

Kwamba sio kila aliye THT angefika level ya Diamond, kwanini usitutajie angalau mmoja tu kutoka THT aliyefikia level ya Diamond?! Ingawaje Barnaba ni more talented na msanii mzuri kuliko Harmonize, lakini ukweli ni kwamba Harmonize amemzidi Barnaba kwa mafanikio ya muziki na mengine nje ya muziki!!

Kama Marehemu Ruge ndo alikuwa kila kitu, kwanini alishindwa kumfanya Barnaba afikie angalau level ya Harmonize let alone level ya Diamond?! Na hapa tukumbushane kwamba, Barnaba yupo THT kwa karibu miaka 10 lakini hajafikia level ya Harmonize ambae yupo WCB for less than 5 years!! Ina maana "uchawi" wa Ruge ulikuwa kwa Diamond tu?!
 
Alikuwa anaishi nae nyumbani kwake
 
Fikra za kimasikini. Kusaga hana utajiri huo unaofikiria wa kummiliki kila mtu. Kwa taarifa yako Mondi kwa hatua aliyofikia kiuchumi anakaa dawati moja na huyo tajiri wako.
pokea like yangu
 
Huo mchezo wa Clouds kuidhoofisha Wasafi,huyo Jembe kawekwa mbele tu.

Wasafi Festival inawaumiza kichwa na Fiesta yao..
 
Hata wewe umekizungumzia mkuu.

Ingekuwa hakina umuhimu hivyo, ungekiruka tu wapumbavu wajadili yao.
 
Acheni kumtisha, kwa hiyo level aliyofika akiendelea kubaki WCB ataendelea kuwa ngapi ya mtu mmoja tu kuwa kileleni siku zote.
 
ila huyu mmakonde anajitihada licha la ilo swala la ukaidi
 
Kusaga n kama madem wa bongo
Movie anacheza mahali anajua lazma atavuna
Mpunga
Wanaojua wanajua tu...huyu jamaa anajifanya Godfather ...ana hisa wasafi...hisa jembe nijembe hisa clouds...anatengeneza mabeef mwisho wa siku ye ndo anapiga ela...BIG UP EL PATRON KUSAGA
 
Duniani Harmonize hatokuwa msanii wa kwanza kuachana vibaya na menejimenti yake. Give a guy a break, support and trust.
 
Waliopita mikonon mwake wamefanikiwa kimusic na hata darasan hatuwezi kuwa sawa wote japo wote tutafaulu na wote tukifanya biashara sio wote tutakua level sawa kutokana na uwezo binafsi ndio maana barnaba hakuwa anaweza kuimba ila alifundishwa akafika alipofika, wakina mwasiti wakina Lina walifika walipofika wakina Nandy bado anaendelea wakina Jay Dee wanaendelea kutokana na uwezo binafsi kila mtu anakarama yake ndio maana hata umchukue diamond na christian bella waimbe wengi tutamshangilia kwa diamond toka anaanza but akija christian bella wenye watu watatulia kwanza wamsikilize sauti yake maridadi inavyopanda na kushuka mwishi ndio tutamshangilia kiushabiki tutasema diamond amepiga show ya nguvu but kiuhalisia Christian bella amepiga show.

Na unasema Harmonize amefanikiwa kuliko Barnaba kimashabiki sawa amefanikiwa lakin kimaisha hawezi mkuta hata Shilole nakuhakikishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…