Harmonize ataimba nyimbo zote ila hizi ni hatari

Harmonize ataimba nyimbo zote ila hizi ni hatari

Kuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui
Naomba zipandishe Kama audio hapa na Mimi nisikilize rafiki yangu ,nilipo network iko chini siwezi kidownload lakini zaidi nataka nizitambulishe klabuni Kama nyimbo mpya maana najua wanakijiji hawazijui
 
Duh! Mtikila akiwa na umri wako tayari alishakuwa na kesi za kutosha dhidi ya serikali. Wewe uko bize na mambo ya kipuuzi.
Pambana na umasikini wako kesi za serikali Mimi zinanihusu nini wakati account yangu bank imejaa au umedata nini Mimi sio mtikila Mimi ni Mr money
 
Naomba zipandishe Kama audio hapa na Mimi nisikilize rafiki yangu ,nilipo network iko chini siwezi kidownload lakini zaidi nataka nizitambulishe klabuni Kama nyimbo mpya maana najua wanakijiji hawazijui
Umenikumbusha mbali sana 😁😁😁. Miaka ya 2003 hadi 4 nilishuhudia Mr Nice feki akipiga hela vijijini kwa show za kitapeli.
 
Wapi nimeongelea pesa? Unaona ulivyo zwazwa. Nimesema tupo busy na mambo ya kitaifa. Vijana kama nyie mnamchango mdogo sana kwenye taifa.
We bwege tafuta hela ukiwa na pesa hutokua na Mda na mambo ya kijinga kama hayo ni njaa ndio inakusumbua
 
Back
Top Bottom