Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Kuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui, Mtaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko bize kivyako pambana na umasikini wako mzee wenzio pesa tunazo tunaenjoy lifeTuko busy na mambo ya kitaifa wewe unamuwaza Harmonize wako.
Duh! Mtikila akiwa na umri wako tayari alishakuwa na kesi za kutosha dhidi ya serikali. Wewe uko bize na mambo ya kipuuzi.Kuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui
Naomba zipandishe Kama audio hapa na Mimi nisikilize rafiki yangu ,nilipo network iko chini siwezi kidownload lakini zaidi nataka nizitambulishe klabuni Kama nyimbo mpya maana najua wanakijiji hawazijuiKuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui
Pambana na umasikini wako kesi za serikali Mimi zinanihusu nini wakati account yangu bank imejaa au umedata nini Mimi sio mtikila Mimi ni Mr moneyDuh! Mtikila akiwa na umri wako tayari alishakuwa na kesi za kutosha dhidi ya serikali. Wewe uko bize na mambo ya kipuuzi.
Nawashangaa sana hawa jamaa njaa zao na hasira ya umasikini wanaleta kwangu kama Mimi ndio baba yaoMtu yuko jukwaa la mmu, halafu watu Wana leta habari za kupigania nchi.
Yeye na nyinyi nani nuts!
Wacha nchekeUko bize kivyako pambana na umasikini wako mzee wenzio pesa tunazo tunaenjoy life
Uko bize kivyako pambana na umasikini wako mzee wenzio pesa tunazo tunaenjoy life
Umenikumbusha mbali sana 😁😁😁. Miaka ya 2003 hadi 4 nilishuhudia Mr Nice feki akipiga hela vijijini kwa show za kitapeli.Naomba zipandishe Kama audio hapa na Mimi nisikilize rafiki yangu ,nilipo network iko chini siwezi kidownload lakini zaidi nataka nizitambulishe klabuni Kama nyimbo mpya maana najua wanakijiji hawazijui
We bwege tafuta hela ukiwa na pesa hutokua na Mda na mambo ya kijinga kama hayo ni njaa ndio inakusumbuaWapi nimeongelea pesa? Unaona ulivyo zwazwa. Nimesema tupo busy na mambo ya kitaifa. Vijana kama nyie mnamchango mdogo sana kwenye taifa.
nilisahauHuijui Mtaje wewe
Pesa unazo wewe na nani?Uko bize kivyako pambana na umasikini wako mzee wenzio pesa tunazo tunaenjoy life
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuko busy na mambo ya kitaifa wewe unamuwaza Harmonize wako.
Poa poaNaomba zipandishe Kama audio hapa na Mimi nisikilize rafiki yangu ,nilipo network iko chini siwezi kidownload lakini zaidi nataka nizitambulishe klabuni Kama nyimbo mpya maana najua wanakijiji hawazijui