Harmonize atakuwa msanii wa kwanza kujitenga WCB

Nimekuelewa sana Mkuu.
 
si ulete hiyo interview tusikie hiyo mipaka aliyopitilkza
 
mnamuonea wivu jamaa kuopoa mzungu..mbona bosi wao ameopoa kibibi hamsemi
 
Mmakonde anadharau sijapata kuona..Mark X aliyokopeshwa na wasafi ameuza kawarudishia pesa yao...anavimba kwenye prado
 
Kaka umeongea point tupu....harmonize anajua ila apunguze tu mashauzi
 
Kumsemea mtu humjui sijui ni umbea au utabiri!
 
Mfukuzeni basi, si mmeamua kumfukuza..?
Tutaenda nae kwetu Chitohori kucheza mziki wa Singeli na atakuwa mrithi wa Tongolanga.
 
Nimejaribu kusoma katikati ya mistari andiko hili, sijaona kosa hasa la huyu anayetuhumiwa.

Mwandishi amejichanganya kinoma, mara interview, mara nini,,,,sasa kosa lake la kinidhamu ni nini?

Nahisi harufu ya chuki hapa. Na huyu mleta mada anaonekana ni mtu wa karibu kwenye management ya WCB.

Tatizo letu wa Afrika tunapenda kunyenyekewa. Ukimsaidia mtu kutoka kwenye lindi la matatizo, unataka aendelee kukuabudu, akionyesha mafanikio fulani tofauti na uliyoyategemea inakuwa kinyongo!

Mwisho, riziki inatoka kwa Mungu, si Diamond aliyemfikisha hapo, ila Mungu kupitia kwa Diamond akamwona huyo kijana na kumwinua hatua flani. Anaweza kuendelea kumwinua zaidi na zaidi hata akiachana na Diamond.
 


Jamaa wa kupumuliwa? Sawa.
 
We tokwa povuu wenzio hadi picha za kupost wanaomba ruhusa japo walikataa sembuse namna ya kuzungumza kwenye interview, mwandish achana na mawazo ya kuombea watu NJAA
 
Akitoka wcb ataisainiwa na
Baraka da Prince kwenye lebo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…