Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Ngoja tusubiri utabiri wako
Mkuu ulienda msalani nini, mbona umechelewa leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubiri utabiri wako
yeah nilitoka kidogoMkuu ulienda msalani nini, mbona umechelewa leo?
Nimekuelewa sana Mkuu.Katika kundi lao WCB yoote hakuna msanii anaejua kuimba vizuri kama Harmonize nakuambien Harmonize hata akiondoka wasafi atagombaniwa na menegmnt kibao hapa bongo na nje ya Tanzania ana nyimbo zenye maisha marefu sana mfano Aiyola Bado Hbd Niambie ni nyimbo zinazoishi milele kwa tungo sauti na melody laini ya kubembeleza ila Huyo Lava lava ndio kashaisha Raymond atabaki tu kwa sababu ni mtoto wa marehemu chande yaan tangu aanze ana nyimbo moja tu KWETU zingine zinakuja lakini hazina ujumbe wala ladha wala nin yaan Kimziki Raymond ni wakawaida sana kama sio promo hana heat song. Mavoco sina neno lakini hajafit kwenye ala za WCB nadhani ana anga zake sio pale ni hayo tu lingine sina.
si ulete hiyo interview tusikie hiyo mipaka aliyopitilkzaHarmonize....Sitaaki Kuongelea Zile Haso zake za BSS....zile haso zake za kutoka hadi Diamond kuja kumuona Na kuamua Kumsign Na kuwa msanii wake Chini ya WCB! Alitoa Aiyola ikamtambulisha....akaachia Kidonda changu ikamuongezea utambulisho lakini Diamond Alimtambulisha zaidi na Zaidi kupitia show na Kuamua Kushi nae Nyumba Moja! Mwishowe akumueka kwenye nyumba Yake alionunua Diamond! Ila sahizi sijui Wapi anakaa.....Bado ikamzidisha kumtambulisha hadi sasa pamoja na Kiki zote!
Mimi shabiki wa WCB na Nina wapenda wasanii pale....lakini Kasumba Moja kubwa ya wasanii wa WCB ni hawajui kufanya INTERVIEW....hilo liko wazi na Hapo ndipo huwa wanafeli japo majigambo kwa Msanii ni kawaida!
Ila Harmonize hajui INTERVIEW kuliko msanii yeyote pale WCB kujieleza hajui ni mtu anae tamani kuongea kila kitu kwenye Interview Moja! Pamoja na Tabia zake zingine Lakini sijui
Ila naweza kusema kuwa HARMONIZE atakuwa msanii wa kwanza kujitenga na WCB na hata ondoka kwa Mazuri watagombana sana Kupitia Media na huo utakuwa mwisho wa HARMONIZE ......Kama huamini haya niyasemayo Jaribu kufuatilia interview zote za HARMONIZE hivi karibuni utaelewa nacho ongea......Managament yake na Harmonize hamna dalili nzuri siwezi sema ni Kisa MZUNGU ila Harmonize anatabia fulani hivi si nzuri japo sijaishi nae!.....Harmonize nilicho jifunza ana Nidhamu ya woga na hii itamfanya asepe Mapema WCB
Dalili ya Mvua ni Mawingu.....Wazungu wasema Time Will Tell....Ngoja nitunze akiba ya Maneno yangu lakini akili yangu inanituma na kunambia kuwa HARMONIZE atakuwa msanii wa kwanza kujitenga WCB na watagombana na Kundi la WCB
Ingekuwa ni uwezo wangu ningezuia hiki kisitokee lakini sina jinsi mm ni mshabiki wa kawaida tuu!!! Ila yule MZUNGU SIJUI kama WCB wamemkubali nafikiri hapana......Japo HARMONIZE KUWA na MZUNGU mimi sio sababu ya Kusema Kuwa HARMONIZE ATAJIENGUA WCB!
Ila kwa Dalili hizi......mmmmmmh
Danya
[emoji23][emoji23]Come on Suddy, Aaaaanh Suddy bhana. .
Kijana anavimba, mzungu kampa confidence [emoji125]
Kaka umeongea point tupu....harmonize anajua ila apunguze tu mashauziKatika kundi lao WCB yoote hakuna msanii anaejua kuimba vizuri kama Harmonize nakuambien Harmonize hata akiondoka wasafi atagombaniwa na menegmnt kibao hapa bongo na nje ya Tanzania ana nyimbo zenye maisha marefu sana mfano Aiyola Bado Hbd Niambie ni nyimbo zinazoishi milele kwa tungo sauti na melody laini ya kubembeleza ila Huyo Lava lava ndio kashaisha Raymond atabaki tu kwa sababu ni mtoto wa marehemu chande yaan tangu aanze ana nyimbo moja tu KWETU zingine zinakuja lakini hazina ujumbe wala ladha wala nin yaan Kimziki Raymond ni wakawaida sana kama sio promo hana heat song. Mavoco sina neno lakini hajafit kwenye ala za WCB nadhani ana anga zake sio pale ni hayo tu lingine sina.
Kumsemea mtu humjui sijui ni umbea au utabiri!Harmonize....Sitaaki Kuongelea Zile Haso zake za BSS....zile haso zake za kutoka hadi Diamond kuja kumuona Na kuamua Kumsign Na kuwa msanii wake Chini ya WCB! Alitoa Aiyola ikamtambulisha....akaachia Kidonda changu ikamuongezea utambulisho lakini Diamond Alimtambulisha zaidi na Zaidi kupitia show na Kuamua Kushi nae Nyumba Moja! Mwishowe akumueka kwenye nyumba Yake alionunua Diamond! Ila sahizi sijui Wapi anakaa.....Bado ikamzidisha kumtambulisha hadi sasa pamoja na Kiki zote!
Mimi shabiki wa WCB na Nina wapenda wasanii pale....lakini Kasumba Moja kubwa ya wasanii wa WCB ni hawajui kufanya INTERVIEW....hilo liko wazi na Hapo ndipo huwa wanafeli japo majigambo kwa Msanii ni kawaida!
Ila Harmonize hajui INTERVIEW kuliko msanii yeyote pale WCB kujieleza hajui ni mtu anae tamani kuongea kila kitu kwenye Interview Moja! Pamoja na Tabia zake zingine Lakini sijui
Ila naweza kusema kuwa HARMONIZE atakuwa msanii wa kwanza kujitenga na WCB na hata ondoka kwa Mazuri watagombana sana Kupitia Media na huo utakuwa mwisho wa HARMONIZE ......Kama huamini haya niyasemayo Jaribu kufuatilia interview zote za HARMONIZE hivi karibuni utaelewa nacho ongea......Managament yake na Harmonize hamna dalili nzuri siwezi sema ni Kisa MZUNGU ila Harmonize anatabia fulani hivi si nzuri japo sijaishi nae!.....Harmonize nilicho jifunza ana Nidhamu ya woga na hii itamfanya asepe Mapema WCB
Dalili ya Mvua ni Mawingu.....Wazungu wasema Time Will Tell....Ngoja nitunze akiba ya Maneno yangu lakini akili yangu inanituma na kunambia kuwa HARMONIZE atakuwa msanii wa kwanza kujitenga WCB na watagombana na Kundi la WCB
Ingekuwa ni uwezo wangu ningezuia hiki kisitokee lakini sina jinsi mm ni mshabiki wa kawaida tuu!!! Ila yule MZUNGU SIJUI kama WCB wamemkubali nafikiri hapana......Japo HARMONIZE KUWA na MZUNGU mimi sio sababu ya Kusema Kuwa HARMONIZE ATAJIENGUA WCB!
Ila kwa Dalili hizi......mmmmmmh
Danya
Jamani interview ni kitu kigumu sana unaweza kuwa msomi usijue kuhojiwa ni kama hotuba huwa zina wenyewe. Kwa hapa bongo msanii anayejua interview ni Omy dimpoz tu wengine wanaunga tu. hawajui chochote yaan bora wamejibu swali tu yaan Dimpoz akimaliza interview husikii gazeti likiendeleza interview wala udaku kinachobaki ni chuki wivu na pongezi tu kwa dimpoz sio siri huwa anaua kabisa