Harmonize - Hainistui (Official Audio)

Kumbe na INAMA alicopy?? af na yenyewe ikabuma.???
Tz hakuna wa kumlinganisha na Mond katika swala zima la mziki. Muonekano wote wa bongofleva tangu 2009~present na kukua kwake umebebwa na Diamond Platinumz na WCB yake.Na ndio maana siku zote msanii anapata kiki zaidi pale anapotaka kuichallange WCB.Unajua ni kwanini.??? Ni kwasababu wapenz wa mziki watampa attention kubwa ili kujua ana kipi kikukwa kuliko WCB, Konde mwnyew analijua hilo ndo maana anaforce sana kuwa hasimu wa Mond.
 
Nampa 9/10, Bwana mdogo anajitahidi, kila mmoja ana strategy yake ili kuweza kuliteka soko la muziki hapa Tanzania na nje ya Tanzania.
 
nyimbo iko vzr sana. dogo afanye kazi.

ila naona dalili ya kibamia kupotea kbs. wale wapenzi wake wamshtue. akijifanya hashtuki atapotea kbsaaa
 
Harmonize ana uwezo wa kutunga nyimbo tamu Sana, angalau kidog UNO Ila hzi mbili ni pumba tupu , au anataka apitie Kwa Mond kutake attention, maana sa hv ili ijulikane inabd upitie Kwa jamaa, ?? Nashaur huu wimbo uwe wa mwisho kwenye mipasho badae aanze kuachia mawe...
 
Mi sijauelewa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…