chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 549
- 841
Wimbo wa BABA LAO hukuona kama ni Mipasho au kwakuwa ni Diamond.Naona kaanza kuimba mipasho
Jr[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo wa BABA LAO hukuona kama ni Mipasho au kwakuwa ni Diamond.Naona kaanza kuimba mipasho
Jr[emoji769]
Kwa hiyo hadi leo haujui km idea ya nyimbo hizo n kopy.. Aise
Tayari ameshapotea huyo.. Hajui wanasiasa huyu bure kabisa.
Kumbe na INAMA alicopy?? af na yenyewe ikabuma.???Huyo sjui mond mnayemsifu hapa amefanya nini mwaka ulopita?
Yope si idea yake..
The1 kakopy.
Baba lao kakopy..
Sound ndio inshajifia..
Ukweli ni kwamba kibongo bongo tunawasanii dhaifu sana.. Swala la ubunifu ni Zerooo..
Waacheni wasanii dhaifu wapambane na udhifu wao.. Hoja za kusema sijui nani bora ni upuuuzi mtupu...
Ndio maana 99.9999% hawawezi imba na live band mwanzo mwishoo..
Mi sijauelewa kabisaHarmonize ana uwezo wa kutunga nyimbo tamu Sana, angalau kidog UNO Ila hzi mbili ni pumba tupu , au anataka apitie Kwa Mond kutake attention, maana sa hv ili ijulikane inabd upitie Kwa jamaa, ?? Nashaur huu wimbo uwe wa mwisho kwenye mipasho badae aanze kuachia mawe...
Lete ushahidi acha umamaKwa hiyo hadi leo haujui km idea ya nyimbo hizo n kopy.. Aise