Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwahiyo unaenda kumwambia mtu eti nicopy kazi yako!Ishu Sio kurudia Melody je kunamakubaliano yamefanyika before kutumia kazi ya mtu isijeikatokea Kama ngoma yake ya uno kumuibia yule mkenya.
Hizo ni mipasho kwa ma ex wake. Plus kuwasifia kina bashite..Niambie kwenye hiz ngoma za mondi alizotoa mwaka Jana Kuna matusi wapi? The one, inama, yope remix,baba lao, sound, na kanyaga.
ni lini kitamkuta hicho?? hujaanza kusema leo.Mwaka 2017 Aslay alikuwa anatoa hits back to back.. alishine sana
Akaanza kutoa ngoma za kawaida back to back...
mpaka leo anachukuliwa kuwa msanii wa kawaida tuu kutoka kuwa msanii mwenye solo hits zaidi 2017..
Ndicho kinachoenda kumkuta Harmonize....
Ngoma mbovuu sana, style za kuimba na mashairi ni zilezile...
zinabebwa na upepo tuu wa kushindanishwa na WCB
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huyo jamaa anasema kila kukicha mondi anaandika matusiHizo ni mipasho kwa ma ex wake. Plus kuwasifia kina bashite..
Harmo namkubali ila njia aliyoichagua sasa hivi itamletea madhara makubwa kwenye mziki plus chuki kuongezeka zaidi kwenye mziki wake.ni lini kitamkuta hicho?? hujaanza kusema leo.
Acha uchawi Wewe sio MUNGU kuwatabiria wengine ikiwa hujui hata Wewe siku yako ya kufa
Wewe ni nani hata uyaone ya mbele yake ambayo hata yeye mwenyewe hayaoni??Harmo namkubali ila njia aliyoichagua sasa hivi itamletea madhara makubwa kwenye mziki plus chuki kuongezeka zaidi kwenye mziki wake.
Kwahiyo wewe ni chawa wa huyo kondeboyWewe ni nani hata uyaone ya mbele yake ambayo hata yeye mwenyewe hayaoni??
Nini kama sio unafki huo? Nani asiyekujua wewe chawa wa wasafi?
toka apa mbele yangu usiniletee ngonjera zako
Hiyo mipasho unaionaje? Au kwa kuwa ni bosi wako mondi basi ni sawa hajawahi kukosea.Mbona huyo jamaa anasema kila kukicha mondi anaandika matusi
Hakuna sehem niliosema ila wewe ulishawahi kukiri wazi..Kwahiyo wewe ni chawa wa huyo kondeboy
Naona Team TANDAHIMBA mpo tayari kumlinda Mbunge wenu hapaa. Safi.Mondi ana manyimbo mengi ya mipasho anawapasha mpaka maex wake lakini hakuna anaeona, leo kaimba konde eti mipasho kama mwanamke hovyooo.... wala hammstui kunyweni chai ya pilipili mkalale
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajua mziki,harmonize inabidi atulie afute file la WCB kichwani Kama hakuwepo then atunge nyimbo.Kila nyimbo anayotunga lazima aifikirie WCB hichi sio kitu kizuri kwa afya ya muziki wake.Huu uzi umejaa mihemko na chuki...
Twende kwenye ukweli nyimbo sio mbaya wala nzuri ni ya kawaida.Sema kijana biti ni ya mr nice na mwanzo wa nyimbo ni kama style ya yule jamaa aliemshirikisha shishi (nikagongee banana).
Hii style ya mziki wa kuungaunga ka copy kwa baba yake uko kwenye kundi la wasafi.Sasa sion sababu ya kumnanga wakati ndio asili yao.Mbona babake anaimba sana taarabu!!!Angalia nyimbo zake kama baba lao!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Well Said.Wewe unajua mziki,harmonize inabidi atulie afute file la WCB kichwani Kama hakuwepo then atunge nyimbo.Kila nyimbo anayotunga lazima aifikirie WCB hichi sio kitu kizuri kwa afya ya muziki wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima ipigwe clouds ndio nyimbo iwe hit,hata kwangwaru sio hit,tetema sio hit,Inama sio hit ,yope sio hit.Mafioso bonge la hit limepigwa cloudsNimekwambia mtaani unapigwa vibaya mno kijana huku , sasa kama utaki platform kama Youtube itoe taswira ya nyimbo ilivyo unataka kitu gani , labda uniambie wewe unatumia KIPIMO GANI kujua hii nyimbo imebuma ?
Wasukuma mnatabu DIAMOND BABA YAKONgoma kali sanaa.. Jamaa toka awaone wasafi ni wepesi km karatasi basi ski hz n mangoma tu.. Kweny show mtakuja tu.. tena show za one man army.. achana na yule anaita wasanii mia halafu anajidai wananchi wamemfata yeye pekee
hivi unamfananisha Diamond na Harmonize? ni akili unatumia kuwaza?