Harmonize hawezi baki salama ana talent kubwa

Ukiachana na maisha yake ya ajabu ajabu when it comes kwenye music na mimi nimeanza kulielewa konde Bro is blessed sana
 
Akapime Afya Kwanza
 
nianze kua shabiki wake sasa[emoji3][emoji3][emoji3]...ile nitaubeba ni kali sana na hii mwenyewe kapita fresh
Hahhah huyu hata ukimchukia inafikia hatua nyimbo zake unazipenda yaani kuna nyimbo zake zinagusa sana kuna moja inaitwa dunia
 
Hahhah huyu hata ukimchukia inafikia hatua nyimbo zake unazipenda yaani kuna nyimbo zake zinagusa sana kuna moja inaitwa dunia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]si ile anamtaja had mwijaku??.....anasema tuombeane mambo mema??...konde ukiacha mambo yake nje muziki ni msanii mkali sana diamond atakua anajuta kuipoteza hii dhahabu
 
Huwezi toka music industry bila kuuza nafsi yako kwa shetani chief.
 
Music bila kiki haiwezikani. Skendos ndo ufanya ujulikane. Usione ommy dimpos anavaa sketi
 
Music industry dunia nzima ipo undercontrol bila kupaishwa utaishia kuimba vilabuni tu
 
Huwezi toka music industry bila kuuza nafsi yako kwa shetani chief.
Ukweli mchungu, japo sio wote mkuu... mbona kuna wasanii wa kibongo hawaamini ushirikina na wanaponda sana hizo mambo au wanajifaragua tu mbele za camera.
 
Music industry dunia nzima ipo undercontrol bila kupaishwa utaishia kuimba vilabuni tu
Kudaadeki umenisema kabisa hapa, niko katika hatua za ukigoni kuachana na mambo ya mziki..ikifika 2024 sijatoboa naacha mazimaa!
 
Ukweli mchungu, japo sio wote mkuu... mbona kuna wasanii wa kibongo hawaamini ushirikina na wanaponda sana hizo mambo au wanajifaragua tu mbele za camera.
Nani keshawahi kili anashiriki, ushirikina ni just a part tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…