Harmonize: Kajala ni mwanamke sahihi kwangu kwa asilimia mia

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Pole mkuu
 
Awali nilijua jamaa ana jitambua na ana vision.kumbe wale wale. Ebu ona maisha ya hawa wasanini:
1.Mr.Sugu
2.Prof J
3. Ay
4. Mwana FA (mh.Mbuge)

Angalia life style yao, familiar zao na mafanikio yao.
au usomi wao umechangia??
Sugu ana usomi gani?
 
Awali nilijua jamaa ana jitambua na ana vision.kumbe wale wale. Ebu ona maisha ya hawa wasanini:
1.Mr.Sugu
2.Prof J
3. Ay
4. Mwana FA (mh.Mbuge)

Angalia life style yao, familiar zao na mafanikio yao.
au usomi wao umechangia??
Toa ay na mwanafa voda wameappear .
 
Awali nilijua jamaa ana jitambua na ana vision.kumbe wale wale. Ebu ona maisha ya hawa wasanini:
1.Mr.Sugu
2.Prof J
3. Ay
4. Mwana FA (mh.Mbuge)

Angalia life style yao, familiar zao na mafanikio yao.
au usomi wao umechangia??
Yaani Harmonize ana vision?

Hivi huoni kama jamaa matendo yake ni kama hana mission, ni mtu anayestruggle sana kutaka aendelee kuonekana tu...

Angelikuwa ni mtu mwenye akili, angeenda shule kwanza kwa sababu kuna maisha baada ya hiyo miziki...ukichukulia kuwa anatamani kuingia kwenye siasa
 
Hivi ukiwa msanii huwezi tafuta kabinti kabichi ukaoa

Na mimi hapo ndio hua nashindwa kuwashangaa hawa jamaa. Mi nadhani huenda hawa wasanii wa kike labda hua wanatumia ndumba kuwakamata mastaa.

Haiingii akilini kijana mdogo upate hela halafu badala ya kula mali safi zilizojaa kila mahali mitaani, tena unakuta zenyewe ndio zinakupapatikia, eti wewe ukakamate hayo ma ngarangara yaliyojichokea ndio unatoka nayo!

Enewei, lakini nadhani pia hawa wasanii wetu wengi ushamba + ujinga umewajaa. Hata hivyo, acha wao wale mangarangara yao wapunguze ushindani huku mitaani ili sisi kajambanani nasie tule vitu safi..!πŸ˜€ Maana wakishuka huku grassroot level sijui sisi tutakua wageni wa nani?
 
Diamond anamchanisha msamba huyo dogo , albam ya Mboso sjui atatumia Kiki gan kuizima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena msamba dume akitua anakutana na chupa ya serengeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…