Harmonize: Kajala ni mwanamke sahihi kwangu kwa asilimia mia

Harmonize: Kajala ni mwanamke sahihi kwangu kwa asilimia mia

Na mimi hapo ndio hua nashindwa kuwashangaa hawa jamaa. Mi nadhani huenda hawa wasanii wa kike labda hua wanatumia ndumba kuwakamata mastaa.

Haiingii akilini kijana mdogo upate hela halafu badala ya kula mali safi zilizojaa kila mahali mitaani, tena unakuta zenyewe ndio zinakupapatikia, eti wewe ukakamate hayo ma ngarangara yaliyojichokea ndio unatoka nayo!

Enewei, lakini nadhani pia hawa wasanii wetu wengi ushamba + ujinga umewajaa. Hata hivyo, acha wao wale mangarangara yao wapunguze ushindani huku mitaani ili sisi kajambanani nasie tule vitu safi..!😀 Maana wakishuka huku grassroot level sijui sisi tutakua wageni wa nani?
😂 😂 😂
 
Hamornize amethibitisha kuwa anaamini Kajala ni mwanamke sahihi kwenye maisha yake! Akijibu swali la Mwijaku amediriki kutamka kuwa usahihi wa Kajala kwenye mahusiano yake ni 1000%

Uzi tayari
Hongereni
 
Awali nilijua jamaa ana jitambua na ana vision.kumbe wale wale. Ebu ona maisha ya hawa wasanini:
1.Mr.Sugu
2.Prof J
3. Ay
4. Mwana FA (mh.Mbuge)

Angalia life style yao, familiar zao na mafanikio yao.
au usomi wao umechangia??
Sugu ana usomi gani?
 
Hamornize amethibitisha kuwa anaamini Kajala ni mwanamke sahihi kwenye maisha yake! Akijibu swali la Mwijaku amediriki kutamka kuwa usahihi wa Kajala kwenye mahusiano yake ni 1000%

Uzi tayari
When did the dude say that?😝😝😝
 
Back
Top Bottom