I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Kwa akili ya kawaida mwanaume anaejielewa hawezi kufanya haya. Imefika wakati baada ya mazoea ya kusuka "twende kilioni" naona kaanza kuvaa na zile ''hereni kubwa"
za akina mama.
Muda utaongea. Tuendelee kuwa watazamaji.
Muda utaongea. Tuendelee kuwa watazamaji.