Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kama aliwahi kuishabikia ccm na viongozi wake tumuache kama alivyoKwa akili ya kawaida mwanaume anaejielewa hawezi kufanya haya. Imefika wakati baada ya mazoea ya kusuka "twende kilioni" naona kaanza kuvaa na zile ''hereni kubwa" View attachment 1636696za akina mama.
Muda utaongea. Tuendelee kuwa watazamaji.
View attachment 1636697