Harmonize kavuka mipaka. Mlie karibu na huyu mtu mshaurini vizuri

Harmonize kavuka mipaka. Mlie karibu na huyu mtu mshaurini vizuri

Mkuu wewe kweli? Hata kama tunapinga haya ila mambo ya kujinasabaisha na kula ndogo ya mwanaume mwenzako ni jambo sio hata la kulifanyia mzaha.
Sasa kama mtu akiamua kuwa bwabwa anafanyweje mzee mwenzangu
 
ndio mana wasaniii wakipata hela chakwanza kununua ni Gari,

haki nasema eti nipande public pembeni kasimama huyo dogo kavaa hilo hereni..

ntajitia nataka kudondoka halafu nashikilia hilo hereni nipate balance nisidondoke,naivuta haswaa..

Hao mabodyguards unawapitaje hadi unamgusa
 
Back
Top Bottom